You searched for: kukosolewa (Swahili - Engelska)

Datoröversättning

Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.

Swahili

English

Info

Swahili

kukosolewa

English

 

Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Swahili

Engelska

Info

Swahili

tunakaribisha ushirikiano pamoja na kukosolewa.

Engelska

we welcome both collaboration and criticism.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

ikikabilia na kukosolewa, china ilieleza vikali kutoridhika.

Engelska

facing the critique, china expressed strong discontent.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

kuonekana kwa malkia rania katika mkondo wake wa intaneti, kulimpa fursa ya kukosolewa kutoka kwa mamilioni ya watu.

Engelska

queen’s rania appearing on her channel on the internet, gave her the chance to receive criticism from millions of people.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

wakati wa ziara nchini india mwishoni mwa 2008 nilishangaa kusikia kukosolewa vikali kwa kevin rudd katika ngazi za juu za serikali ya new delhi.

Engelska

during a visit to india in late 2008 i was surprised to hear strong criticism of kevin rudd at the highest levels of the new delhi administration.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

na kwa sasa muswada huu umepitishwa na bunge pamoja na kukosolewa vikali na wanasiasa wa upinzani, wadau wa mitandao ya kijamii na wanaharakati wa haki za binadamu.

Engelska

and it has now passed the parliament despite criticism from opposition politicians, social media practitioners and human rights activists.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

kwa upande wake, serikali ilikubali kukosolewa kwa kazi yake ya kutoa misaada lakini ilionya dhidi ya wanasiasa ambao wanaitumia hali hiyo kuendeleza ajenda zao za kisiasa:

Engelska

for its part, the government acknowledged the criticisms of its relief work but warned against politicians who are exploiting the situation to advance their political agenda:

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

kwa upande wa upinzani kuna pongezi kwa henrique capriles na timu yake ya kampeni, kukosolewa kwa tabia ya rais kubahatisha fursa, na madai ya ukiukwaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi zinazoanzia kipindi cha kampeni.

Engelska

on the side of the opposition there is gratitude for henrique capriles and his campaign, criticism towards the president's opportunism, and allegations of serious irregularities that go back to the days of the campaign.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

myanmar’s sera ya uratibu wa mtandao ya myanmar iliyosimikwa na utawala wa kijeshi imetambuliwa kuwa ndio iliyo katili kuliko zote ulimwenguni kwa uamuzi wake wa kuyapiga marufuku majarida mawili ya kila wiki kwa kuchapisha picha za wanawake wanamitindo wakiwa nusu uchi japo hawakupata kukosolewa sana na wanaopenda demokrasia.

Engelska

myanmar’s internet regulation policy has been identified as one of the draconian measures imposed by the ruling junta but its decision to ban two weekly journals for posting photos of female models in short pants didn’t draw the normal level of opposition from democracy groups.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

mpango huo unadhaminiwa na dk. dora akunyili, waziri wa habari na mawasiliano wa naijeria, na ambao umekumbana na yote mawili, sifa na kukosolewa (angalia hapa ili kusoma mjadala huo kwenye global voices)

Engelska

the initiative is sponsored by dr. dora akunyili, nigerian minister of information and communication, and has been met with both praise and criticism (see here for the discussion at global voices).

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Få en bättre översättning med
7,760,871,363 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK