You searched for: kurushwa (Swahili - Engelska)

Datoröversättning

Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.

Swahili

English

Info

Swahili

kurushwa

English

 

Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Swahili

Engelska

Info

Swahili

ni kazi yao kuangalia lipi ni jema kurushwa hewani kama inavyoelezwa katika taratibu za televisheni na sauti.

Engelska

it is their job to police what is good for public broadcast as prescribed by television and sound broadcasting regulations.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

wakati huohuo ueneaji jangwa nao huchangia katika mabadiliko ya hali ya hewa kwa kuruhusu kaboni iliyohifadhiwa kwenye mimea ya maeneo yenye ukame na udongo kurushwa kwenye anga.

Engelska

at the same time desertification contributes to climate change by releasing to the atmosphere carbon stored in dryland vegetation and soils.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

@telefone: mabomu yanatupwa kwa wapiga picha na kurushwa katika kituo cha gesi kilichopo katika njia panda ya mitaa ya consolação na maria antonia.

Engelska

@telefone:bombs being thrown at photographers and at the gas station located at the cross streets of consolação and maria antonia.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

baada ya mlipuko wa bomu la kurushwa kwa mkono nakuwauwa watoto watatu katika maandamano ya kupambana na serikali katika eneo la bangkok, shirika la kuhudumia watoto la umoja wa mataifa lilitoa wito kwa serikali na viongozi wa maandamano kuwalinda watoto na kuwaweka mbali na maandamano.

Engelska

after a grenade explosion killed three children in an anti-government protest site in bangkok, the united nations children’s fund urged government and protest leaders to protect children by keeping them away from protests.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

katikati ya vilio vya unafiki kutoka kwa wasanii wengi wa kijamaika ambao wanahisi kwamba mtindo wa dancehall pekee ndio unasakamwa, bloga wa kijamaika, madbull aliyeko huko cayman, anaandika kwamba anaunga mkono amri hiyo na anafikiri kuwa amri hiyo ienezwe na kuzuia mtindo wowote wa muziki unaotarajiwa kurushwa hewani.

Engelska

amidst cries of hypocrisy by several jamaican artistes who feel that dancehall is being unfairly singled out, madbull, a jamaican blogger in cayman, writes that he fully supports the ban and thinks it should be extended to any genre of music being considered for public airplay.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Få en bättre översättning med
7,747,035,604 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK