Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
kutumwa
being sent
Senast uppdaterad: 2016-06-23
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
inawezekanaje ujumbe wowote kutumwa kwa idhini ya anayeupokea?
"@jpb4rretto: @mariastsehai how is any message transmitted with solicitation?
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
picha ya gari likiwa limebandikwa matangazo ya kusherehekea kutiwa kizuizini kwa mubarak, na kutumwa katika posted on yfrog.
car carrying banners in celebration of the detention of mubarak, posted on yfrog.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
(malaika) akasema: hakika mimi ni mwenye kutumwa na mola wako mlezi ili nikubashirie tunu ya mwana aliye takasika.
"i am only the messenger of your lord," he replied. "i shall bestow upon you the gift of a son endowed with purity."
Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
taarifa rasmi iliyotoka jumatatu ya wiki iliyopita kuhusu kifo cha waziri mkuu wa ethiopia meles zenawi, ziliibua mishtuko miongoni mwa watumiaji wa zana za habari za kiraia nchini tanzania, hasa baada ya twiti kuanza kutumwa kutokea anuani ya twita iliyoaminika kuwa rasmi ya zenawi mwenyewe.
monday's official confirmation of ethiopia’s prime minster meles zenawi's death, sparked reactions among social media users in tanzania, especially after tweets started appearing from what some thought was zenawi's official twitter account.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
"washindi" wengine katika uchukuaji taarifa za matukio hayo ni blogu za ndani ya nchi kama vile namba.kz, kloop.kg, issyk-kulpress.kg (vilevile tovuti za habari za kawaida ama vile internews.kg, neweurasia.net na 24.kg), jukwaa la diesel.elcat.kg na kamera ya mtandaoni isiyotoa maneno (webcam) ikionyesha viwanja vya wazi vya ala-too (picha zake zilinaswa na kutumwa na wanablogu wengi).
another "winners" in the coverage are the local blog-portals namba.kz, kloop.kg, issyk-kulpress.kg (as well as traditional news sites like internews.kg, neweurasia.net and 24.kg), forum diesel.elcat.kg and a wordless webcam showing ala-too square (its screenshots were captured and transmitted by many bloggers).
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering