Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
lakini hili si jambo la kawaida.
but this is no ordinary affair.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
harusi ni jambo la kheri
sawa nimekuelewa.
Senast uppdaterad: 2021-09-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
hakika hili ni jambo la ajabu.
a strange thing is this, to be sure!
Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
kuna baadhi ya mambo ambayo ni lazima tuendelee kuyafanya.
there are some things that we must keep doing.
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
lakini, hakuna ubishi kwamba uchambuzi yakinifu wa kiakili ni jambo la lazima.
and no damn intellectual analysis is required.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
ni jambo la kuhuzunisha kutokana na ukweli huu...
very sad to realize this...
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
usalama wa huduma ni jambo la kimsingi kwetu.
safety of practices is our primary concern.
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
hata tumefanya matembezi katika maeneo ya jirani mara kadhaa na linaonekana kuwa jambo la kawaida na wala halisumbui.
we've even gone on several walks around the neighborhood and it feels totally normal and at ease.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
ni jambo la nadra kwa mshenzi huyu kuomba msamaha kutokana na kauli zake.
a very rare moment for this moron to apologise for his statements.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
kumuona aliyenusurika katika matukio ya kutisha akipambana dhidi ya maovu ya leo kwa kweli ni jambo la kutia moyo.
seeing a survivor of those horrors struggle against today’s evils is truly an inspiration.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
kumwona barabarani ni jambo la fahari zaidi ambalo watu wangejisikia kuweza kumwona papa.
seeing him on the road is the closest thing (the people) can get and see the pope.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
itakuwa ni jambo la ajabu kuiruhusu npp ambayo imekataliwa na waghana kutuambia kile tunachopaswa kufanya.
it would be out of place to allow the npp that has been rejected by ghanaians to tell us what we should do.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
hapa kuna baadhi ya yale yaliyosemwa katika twita kufuatia hotuba na amri za mfalme wa saudia:
here are some of the reactions to the saudi monarch's speech and decrees from twitter:
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
oh, na pia hatutahiri wanawake wetu, hilo ni jambo la hovyo na ni kosa katika ngazi nyingi.
oh and we don’t circumcise our women, man that’s just nasty and wrong on too many levels.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
bado, ni jambo la kusikitisha pale unaponunua bendera ambayo ni zaidi ya mita 1 kwa upana au urefu!
still, it really is pathetic when you get a flag that is more than 1 meter in width or length!
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
idadi ya walioteketezwa na kujeruhiwa ni kubwa mno hivi sasa – 521 na 3,000 kufikia asbuhi hii, kwa saa za gaza – kuketi pembeni ya maiti au mtu anayefariki inakuwa ni jambo la kawaida.
the numbers slaughtered and injured are so high now – 521 and 3,000 as of this morning, gaza time — that sitting next to a dead or dying person is becoming normal.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
itakuwa ni jambo la kuvutia kuzipa sifa taratibu za hatua na kuweka wazi viambajengo faafu vya matibabu ya tcm au ujumuishaji wavyo ikiwezekana.
it would also be intriguing to characterize the mechanism of actions and clarify the effective components of tcm treatments or their combinations if possible.
Senast uppdaterad: 2024-04-13
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
@thato_wally: haiwezi kuwa furaha ya afrika kama watu wetu bado wanaishi katika njozi za uhuru, kama ufisadi unaonekana kama desturi na jambo la kawaida…
@thato_wally: its nt a happy africa day if our ppl r stil in the illusion of freedom,if corruption is seen as a norm nd a common practise...
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
hapa chini kuna baadhi ya picha zilizopigwa na waandishi wa habari za kiraia kama zilivyotumwa inmediahk.net kuhusiana na mwonekano wa maandamano hayo:
below are some photos taken by citizen journalists from inmediahk.net on the protest scene:
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
kadiri watu katika sehemu mbalimbali za dunia wanavyozidi kuwa karibu kwa sababu ya teknolojia ya kisasa, na njinsi vikwazo vya kiutamaduni na tofauti ya asili vinavyozidi kuondolewa na kuacha nafasi kwa kuelewana na kuheshimiana; basi ndoa za watu wenye asili tofauti nazo zinazidi kuwa jambo la kawaida.
as people around the world get closer through modern technology, and cultural and racial barriers give way to mutual understanding and respect; and interracial marriages are becoming more common.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens: