Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
mwanablogu wa algeria adel anatoa muhtasari wa mlolongo wa matukio ambayo yamesababisha mzozo.
algerian blogger adel , sums up the chain of events that led to the row.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
gameli alihitimisha makala yake na mlolongo wa maswali –“una maoni gani kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa?
gameli ended his post with a series of questions—"what are your views on climate change?
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
kamera hizo tatu zilikuwa zikirekodi mapya katika mlolongo wa programu yake inayorushwa katika mkondo maalum kwenye youtube, unaojulikana vyema kama vlog.
the three cameras were recording the latest episode of her program that is broadcasted on a special channel on youtube, better known as a vlog.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
hakuna hata choo kimoja cha umma kwenye mlolongo wa maduka… ongezea pia kuwa hakuna maji, karatasi ya chooni, hakuna chochote!
not a single public toilet in the rows of shops...add to that no water, no tissue, nothing!
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
habari mpya: huu ni mlolongo wa picha kwenye huduma ya flickr unaoonyesha uharibifu uliofanywa na vikosi vya usalama katika mabweni ya chuo kikuu cha tehran jumapili usiku.
update: here is a flickr slideshow of photos showing more of the destruction left behind by security forces in university of tehran dormitories on sunday night.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
chombo cha habari cha blogger times kinachoendeshwa na mabloga wa kiarabu, kimemtaja malkia rania wa jordan kuwa bloga maarufu zaidi wa video za kutoka uarabuni katika chombo cha video mtandaoni, youtube, kufuatia mafanikio ya mlolongo wa video za youtube aliouanzisha kuondoa dhana potofu dhidi ya waarabu.
queen rania of jordan has been named the most famous arab video blogger on youtube by blogger times, a blogging magazine run by arab bloggers, following the success of a series of youtube videos she launched to shake off stereotypes against arabs.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
chama cha rdp na vyama vingine vya upinzani viliitisha mkutano na waandishi wa habari mchana wa jumamosi vikidai uwepo wa mlolongo wa kasoro zikijumuisha wino usifutika ambao haukufanya kazi, karatasi za kupigia kura ambazo hazikuwa na muhuri rasmi, na daftari la wapiga kura linalobadilika kila wakati (ambalo lina toleo jipya lenye tarakimu tofauti ya idadi ya wapigakura walioandikishwa).
the rdp and several other opposition parties held a press conference on saturday afternoon alleging a string of irregularities including indelible ink that didn't work, ballot papers that did not have the official stamp, and the ever-changing voters register (of which there is a new version with yet another figure for the number of registered voters).
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Vissa mänskliga översättningar med låg relevans har dolts.
Visa resultat med låg relevans.