Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
hivi, huyu laila ni nani na kwa nini wasichana na wanawake wa kimisri wanapenda kufananishwa naye?
who is laila and why do egyptian girls and women associate themselves with her?
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
kwa hiyo, wizara hiyo ilimwamuru mfanyakazi wake huyo kujitambulisha yeye ni nani na kutoa tamko hadharani la kuomba radhi.
it forced its own employee to reveal his identity and to issue a public apology.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
kura za maoni na uchambuzi, kadhalika ni nani atakayeshinda kutokea wapi na ni nani aliyesema hivi kwa nani na kwa sababu gani.
exit polls and analysis and who will win from where and who said what to whom and why.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
sababu iliyotolewa ni kuwa wazazi hao walikuwa wanahubiri dini, bila ya ufafanuzi ni nani, na katika wakati gani, wapi na vipi madai yanayodaiwa yalitukia.
the reason given was that the parents had been proselytizing, with no explanation of who, when, where or how this was alleged to have occurred.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
apolo ni nani? na paulo ni nani? sisi ni watumishi tu ambao tuliwaleteeni ninyi imani. kila mmoja wetu anafanya kazi aliyopewa na bwana.
who then is paul, and who is apollos, but ministers by whom ye believed, even as the lord gave to every man?
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
siku chache kabla ya uchaguzi nchini kenya mwaka 2007, tulikuwa na hali inayofanana na hiyo ambapo matokeo ya tafiti za kura za maoni ziliibua malumbano ya chuki, madai na pingamizi za madai kwamba matokeo yalikuwa yamechakachuliwa vilivyotegemea tu ni nani na ni chama gani kilipendelewa zaidi au kilipuuzwa katika kura za maoni.
in the run-up to the kenyan elections in 2007, we had a similar scenario where opinion polls became the centre of vicious debates, claims and counter claims of doctored results depending on who or which party was favored or dismissed by the polls.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Vissa mänskliga översättningar med låg relevans har dolts.
Visa resultat med låg relevans.