Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
alinieleza hamu yake ya kuondoka senegal katika mkutano wetu wa kwanza.
yet this is the choice that sebastian prothmann, a native of germany, made after he arrived in dakar, senegal a few months ago. the following video shows prothmann at work :
senegal: harakati za "imetosha sasa basi": kwanza kwenye mtandao, na sasa ikulu
senegal: "enough is enough" movement: first the web, now the presidential palace · global voices
vijana wa senegal wameonesha kuunga mkono kampeni hiyo kwenye facebook na twita, kama inavyoeleza makala hii ya mamadou dieye:
many young senegalese have shown their support for the campaign on facebook and twitter, such as this post by mamadou dieye:
hatupo upande wa rais wala ule wa upinzani, tupo upande wa wananchi na tunatengeneza kundi la harakati ambalo linalinda na kudumisha heshima ya demokrasi na taasisi za senegal.
we are on the side of neither the president nor the opposition, we are on the side of the people and we are creating a movement which guards and upholds the respect of democracy and the institutions of senegal.
matukio haya yanathibitisha kuwa watu wa senegal wanaamini katika nguvu ya karatasi za kura, lakini zaidi ya yote kwamba kampeni ya uchaguzi ujao wa rais imeshaanza, na wakati huu, vijana wa senegal hawatakubali nafasi ya kuwa watazamaji tu.
these events confirm that the senegalese people believe in the power of their ballot papers, but above all that the next presidential election campaign has long since begun, and this time, senegal's youth will not settle for a role as mere spectators.
mabloga hata wale walio mbali kama kongo au senegal, wanaguswa na usalama wa bidhaa za kutoka china katika nchi zao, na wanafuatilias habari hiyo (ya maziwa yasiyofaa).
bloggers as far afield as congo and senegal, concerned about the safety of chinese products in their countries, are closely following the story.
japokuwa blogu ya blog politique au senegal haijatoa maoni yake kuhusu pendekezo la rais wade wala kuhusu tetemeko la ardhi, blogu hiyo ilituma maoni ya dkt. el hadji malick ndiaye juu ya umuhimu wa mshikamano baina ya nchi za kusini, ambayo yalichapishwa kabla ya wade kutoa tangazo lake:
although blog politique au senegal has yet to comment on either wade's offer or the earthquake, it did post this commentary by dr. el hadji malick ndiaye on the importance of "south-south" solidarity, published before wade's announcement: