Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
habari njema zimeenea kuanzia uchina mpaka karibeani, kutokea fukwe za visiwa mpaka ughaibuni na kila mahala.
the good news spread from china to the caribbean, from island shores to diaspora scattered far and wide.
miili mingi ya maiti bado imelazwa katika mitaa, wakimbizi wakiomba chakula, juhudi za kuokoa hazifikii visiwa vingine mbali ya mikoa ya visayas.
many dead bodies are still lying in the streets, refugees are begging for food, and rescue efforts are not reaching other remote islands of typhoon-ravaged provinces in the visayas.
hata hivyo, hakuna lililoweza kupunguza wimbi la furaha lililofunika uhindi magharibi wakati visiwa viwili vilivyoko kwenye ncha mbili tofauti za visiwa hivyo vilileta nyumbani dhahabu na fedha kutoka katika michuano ya juu ya olimpiki ya 2008.
still, nothing could stem the overwhelming tide of happiness that washed over the west indies when two islands at opposite ends of the archipelago brought home the gold and the silver in one of the most high-profile events of the 2008 olympic games.
mstari wa mbele kwenye mabadiliko ya tabia nchi ni mradi unaokusanya habari mama kuhusu athari za tabia nchi, katika jamii za wazawa, kwenye visiwa vidogo, na jamii nyingine zenye hatari ya kuathirika.
on the frontline of the climate change is a project cataloging first-hand stories on the impacts of climate change, in indigenous communities, on small islands, and other vulnerable communities.
maandamano ya amani ya kikundi hicho ambacho ni moja wapo ya vyombo vya upinzani vinavyoheshimika zaidi katika visiwa hivyo –pamoja na kukamatwa kwao mara kwa mara na vyombo vya dola –yanaendelea kuvuta hisia za watu.
as one of the oldest and most respected opposition entities on the island, their peaceful protests - and regular arrests by state security forces - continue to attract attention.
bloga living in barbados alimpachika jina mkimbiaji #1 duniani kama "silaha ya maangamizi", wakati bloga wa visiwa vya cayman mad bull alimuita "radi iliyopakwa mafuta", na akaongeza:
living in barbados referred to the world #1 as "a weapon of mass destruction", while cayman islands blogger mad bull called him "greased lightning", adding: