Şunu aradınız:: outbreak (İngilizce - Svahili)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

English

Swahili

Bilgi

English

outbreak

Swahili

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

İngilizce

Svahili

Bilgi

İngilizce

an outbreak

Svahili

kuziba kwa mabomba

Son Güncelleme: 2019-05-31
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

the meaning of the word outbreak

Svahili

maana ya neno kuzukwa

Son Güncelleme: 2021-06-26
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

i have long been used to outbreak news dropping off on weekends.

Svahili

nimezoea kusikia habari mpya zikisitishwa kutangazwa nyakati za wikiendi.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

sources for further information on the coronavirus outbreak include:

Svahili

vyanzo vya maelezo zaidi kuhusu mlipuko wa virusi vya korona vinajumuisha:

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

on 11 march, the who declared the coronavirus outbreak a pandemic.

Svahili

tarehe 11 machi, who ilitangaza mkurupuko wa virusi vya korona kuwa janga.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

on january 30, who declared the outbreak a global health emergency.

Svahili

mnamo tarehe 30 januari, who ilitangaza mkurupuko huu kuwa dharura la afya ya ulimwengu.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

in december 2019, a pneumonia outbreak was reported in wuhan, china.

Svahili

mwezi wa desemba 2019, mlipuko wa nimonia uliripitiwa huko wuhan, uchina.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

keep up to date—the outbreak and the travel restrictions are changing rapidly.

Svahili

pata taarifa mpya—mlipuko na vikwazo vya usafiri vinabadilika kwa haraka.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

another secondary outbreak occurred in south korea in 2015 with 186 confirmed cases.

Svahili

mkurupuko mwingine wa pili ulitokea nchini korea kusini mnamo 2015 kukiwa na visa 186 vilivyothibitishwa.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

many governments are now mandating or recommending social distancing in regions affected by the outbreak.

Svahili

serikali nyingi sasa wameamrisha au kupendekeza kutotangamana na watu katika maeneo zilizoathirika na kuzuka kwa ugonjwa.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

covs have returned to the limelight due to the recent outbreak of sars-cov-2.

Svahili

virusi vya cov vimerejea kumilikwa tena kutokana na mkurupuko wa hivi majuzi wa sars-cov-2.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

the outcome of the ongoing sars-cov-2 outbreak is also discussed in this context.

Svahili

matokeo ya mkurupuko unaoendelea wa sar-cov-2 pia yamejadiliwa katika muktadha huu.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

as the situation is rapidly evolving, the final scope and severity of the outbreak remain to be determined.

Svahili

kadri hali ikiendelea kua, upeo wa mwisho na hali ya athari ya mkurupuko huu bado haujabainiwa.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

amid a cruise ship outbreak, quarantines and docking are challenging partly due to the large number of people aboard.

Svahili

wakati wa mlipuko wa ugonjwa huu katika meli ya abiria, kuna changamoto ya karantini na kutua kwa sababu ya idadi kubwa ya watu melini.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

a major outbreak spread around the world in 2020, leading to considerable investment and research activity to develop a vaccine.

Svahili

mlipuko mkubwa ulioenea duniani kote mwaka wa 2020, na kusababisha uwekezaji mkubwa na shughuli za utafiti wa kutengeneza chanjo.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

there has already been publication of important disease epidemiological measures concerning the outbreak of covid-19 in mainland china.

Svahili

tayari kuna chapisho la hatua muhimu za kiepidemiolojia ya ugonjwa kuhusiana na janga la covid-19 katika china bara.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

an ebola outbreak killed at least 59 people in guinea and a few suspected cases near the capital conakry suggest that it may have spread to the guinean capital.

Svahili

mlipuko wa homa ya ebola umeua watu wasiopungua 59 nchini guinea na matukio kadhaa yanayohofiwa kuwa ya homa hiyo yamekaribia kwenye mjini mkuu conakry hiyo ikimaanisha kuwa ugonjwa huo unaweza kuenea kwenye mji mkuu wa guinea.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

ilaym, an antananarivo-based blogger for the dailymg, explains why malagasy people are specifically vulnerable to an ebola outbreak.

Svahili

ilaym, mwanablogu anayeishi antananarivo anayeandikia blogu ya dailymg, anaeleza kwa nini wa-malagasi wako kwenye hatari ya maambukizi ya virusi vya ebola.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

guinée, which was already in the throes of severe socioeconomic problems before the virus' outbreak, has suffered the brunt of the epidemic.

Svahili

guinea, ambayo tayari ilishakabiliwa na tatizo kubwa la kiuchumi miongoni mwa raia wake kabla ya kulipuka kwa ugonjwa huu, hadi sasa imeshaathiriwa vibaya na gonjwa hili. has suffered the brunt of the epidemic.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

the outbreak was confirmed to have spread to italy on 31 january, when two chinese tourists tested positive for sars-cov-2 in rome.

Svahili

mkurupuko ilithibitishwa kuenea hadi italia mnamo 31 januari, wakati watalii wachina wawili walipimwa na kupatikana na sars-cov-2 roma.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Daha iyi çeviri için
7,737,868,487 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam