Şunu aradınız:: possibly (İngilizce - Svahili)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

English

Swahili

Bilgi

English

possibly

Swahili

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

İngilizce

Svahili

Bilgi

İngilizce

possibly allah will grant ease after hardship.

Svahili

mwenyezi mungu atajaalia baada ya dhiki faraji.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

possibly your lord will raise you to an honoured position.

Svahili

huenda mola wako mlezi akakunyanyua cheo kinacho sifika.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

it is quite possibly the most meta tweet ever from a head of state.

Svahili

kuna uwezekano mkubwa kuwa hiyo ndiyo twiti maarufu kutoka kwa mkuu wa nchi.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

speak to him gently. he may possibly take heed or may come to have fear."

Svahili

mwambieni maneno laini, huenda akazingatia au akaogopa.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

İngilizce

#isis reportedly beheads steven sotloff —what could anyone possibly say?

Svahili

#isis yatoa taarifa ya kumkata kichwa steven sotloff —ni nani angeweza kusema?

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

the relative isn't coming - possibly, because she is out of money, too.

Svahili

ndugu huyo naye ameonekana kuchelewa, huenda ni kwa sababu yeye pia hana kiasi hicho cha fedha.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

the droplets can land in the mouths or noses of people who are nearby or possibly be inhaled into the lungs.

Svahili

matone hayo huweza kufikia midomo au mapua ya watu walio karibu au kuvutwa hadi mapafu.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

then he broke them all into pieces, sparing only the supreme one among them that they may possibly return to him.

Svahili

basi akayavunja vipande vipande, ila kubwa lao, ili wao walirudie.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

côte d'ivoire: state television rti possibly broadcasting from a mobile truck · global voices

Svahili

côte d'ivoire: televisheni ya taifa rti inawezekana kuwa inatangaza kutokea kwenye gari la matangazo

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

@opiaiya: still possibly one of the most beautiful countries in the world #uganda@50

Svahili

@opiaiya: bado ni mojawapo ya nchi nzuri zaidi duniani #uganda@50

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

february 9th could possibly go down in history as a day when democratic political measures where used to take nigeria one step further down the path to becoming a true democratic nation.

Svahili

februari 9 ingeweza kwenda kwenye historia kama siku ambapo hatua za kidemorasia za kisiasa zilichukuliwa kuifanya naijeria kupiga hatua moja bele kuelekea kwenye njia ya kufanyika taifa la kidemokrasia ya kweli.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

the originator of the heavens and the earth; how can he possibly have a child when, in fact, he does not have a spouse?

Svahili

yeye ndiye muumbaji wa mbingu na ardhi bila ya ruwaza. itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke?

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

@usembassykrt: internet access and possibly cell phones may be disrupted or limited in sudan due to the protests and demonstrations in the capital city.

Svahili

@usembassykrt: upatikanaji wa intanenti na pengine simu za mkononi zinaweza kuwa na matatizo ya upatikanaji au kutokupatikana kabisa nchini humu kufuatia upinzani wa umma dhidi ya serikali na maandamano yanayoendelea katika mji mkuu wa nchi hii.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

i think that this [reprieve] is possibly a trial for you, an opportunity to enjoy yourselves until an appointed time."

Svahili

wala sijui pengine huu ni mtihani tu kwenu na starehe mpaka muda kidogo.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

İngilizce

possibly you may risk your life (o dear prophet mohammed – peace and blessings be upon him) by grieving, because they did not believe.

Svahili

huenda labda ukajikera nafsi yako kwa kuwa hawawi waumini.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

explain for us the seven healthy cows which seven lean cows were eating and the seven green ears of corn and seven others dry, so i may return to the people, possibly they may come to know.”

Svahili

tueleze nini maana ya ng'ombe saba wanene kuliwa na ng'ombe saba walio konda. na mashuke saba mabichi na mengine makavu, ili nirejee kwa watu wapate kujua.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

a recent study on 138 cases reported that 41% of the cases were possibly caused by nosocomial infections, including 17 patients with other prior diseases and 40 health-care providers.

Svahili

utafiti wa hivi majuzi kwa visa 138 uliripoti kwamba 41% ya visa vilisababishwa na maambukizi ndani ya hospitalini, ikiwa ni pamoja na wagonjwa 17 walio na magonjwa mengine ya awali na watoa huduma 40 wa matibabu.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

adaptive designs within ongoing phase ii-iii clinical trials on candidate therapeutics may shorten trial durations and use fewer subjects, possibly expediting decisions for early termination or success, and coordinating design changes for a specific trial across its international locations.

Svahili

miundo inayoweza kubadilika ndani ya vipimo vinavyoendelea vya awamu ya ii-ii katika matibabu yaliyoteuliwa inaweza kufupisha muda wa majaribio na kutumia wahusika wachache, ikiwezekana kuharakisha maamuzi ya kukamilisha mapema au kufaulu, na kuratibu mabadiliko ya muundo kwa majaribio fulani katika maeneo yake ya kimataifa.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

"and i shall remain separated from you and all that you worship other than allah and shall worship my lord; possibly, by worshipping my lord, i will not be amongst the unfortunate.”

Svahili

nami najitenga nanyi na hayo mnayo yaabudu badala ya mwenyezi mungu. na ninamwomba mola wangu mlezi; asaa nisiwe mwenye kukosa bahati kwa kumwomba mola wangu mlezi.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Daha iyi çeviri için
7,761,361,221 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam