Şunu aradınız:: restrained (İngilizce - Svahili)

İngilizce

Çeviri

restrained

Çeviri

Svahili

Çeviri
Çeviri

Metinleri, belgeleri ve sesleri Lara ile anında çevirin

Şimdi çevir

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

İngilizce

Svahili

Bilgi

İngilizce

but we kept them restrained.

Svahili

na sisi tulikuwa walinzi wao.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

water use in factories will be restrained.

Svahili

utumiaji wa maji viwandani utazuiwa.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

and none of you could have restrained us from him.

Svahili

na hapana yeyote katika nyinyi ambaye angeli weza kutuzuia.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

they restrained not one another from the wickedness they did.

Svahili

walikuwa hawakatazani maovu waliyo kuwa wakiyafanya.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

houris (beautiful, fair females) restrained in pavilions;

Svahili

wanawake wazuri wanao tawishwa katika makhema.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

and there will be with them maidens of restrained glances, of a like age.

Svahili

na pamoja nao wake zao wenye kutuliza macho, hirimu zao.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

and as for him who dreaded standing before his lord, and restrained his soul from lust,

Svahili

na ama yule anaye ogopa kusimamishwa mbele ya mola wake mlezi, na akajizuilia nafsi yake na matamanio,

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

and with them will be maidens, of restrained glances with big [beautiful] eyes,

Svahili

na watakuwa nao wanawake wenye macho ya staha mazuri.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

in them are maidens of restrained glances, whom no human has touched before, nor jinn.

Svahili

humo watakuwamo wanawake watulizao macho yao; hajawagusa mtu kabla yao wala jini.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

companions restrained (as to their glances), in (goodly) pavilions;-

Svahili

wanawake wazuri wanao tawishwa katika makhema.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

however, those who had feared their lord and restrained their souls from acting according to its desires.

Svahili

na ama yule anaye ogopa kusimamishwa mbele ya mola wake mlezi, na akajizuilia nafsi yake na matamanio,

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

but as for him who feared standing before his lord, and restrained himself from impure evil desires, and lusts.

Svahili

na ama yule anaye ogopa kusimamishwa mbele ya mola wake mlezi, na akajizuilia nafsi yake na matamanio,

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

in them shall be those who restrained their eyes; before them neither man nor jinni shall have touched them.

Svahili

humo watakuwamo wanawake watulizao macho yao; hajawagusa mtu kabla yao wala jini.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

and on the day when the enemies of allah are herded towards the fire, the earlier groups will be restrained till the latter join them.

Svahili

na siku watakapo kusanywa maadui wa mwenyezi mungu kwenye moto, nao wakikgawanywa kwa makundi.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

(charity is) for the poor who are restrained in the way of allah, and are unable to journey in the land.

Svahili

nawapewe mafakiri walio zuilika katika njia za mwenyezi mungu, wasio weza kusafiri katika nchi kutafuta riziki.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

believers, remember the favor which allah bestowed upon you when certain people were about to stretch their hands towards you, but he restrained them.

Svahili

enyi mlio amini! kumbukeni neema za mwenyezi mungu zilizo juu yenu, walipo taka watu kukunyooshieni mikono, naye akaizuilia mikono yao kukufikieni.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

remember allah's favour upon you. when a certain people decided to stretch their hands against you, he restrained their hands from you.

Svahili

kumbukeni neema za mwenyezi mungu zilizo juu yenu, walipo taka watu kukunyooshieni mikono, naye akaizuilia mikono yao kukufikieni.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

allah has promised that you take many spoils. he has hastened this to you, and restrained the hands of people from you so that he makes it a sign to the believers and to guide you on a straight path.

Svahili

mwenyezi mungu anakuahidini ngawira nyingi mtakazo zichukua, basi amekutangulizieni hizi kwanza, na akaizuia mikono ya watu isikufikieni, na ili hayo yawe ni ishara kwa waumini, na akakuongozeni njia iliyo nyooka.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

and among the devils, were those who dived (in water) for him and did works other than this; and we had kept them restrained.

Svahili

na pia mashet'ani wanao mpigia mbizi na kufanya kazi nyenginezo. na sisi tulikuwa walinzi wao.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

and he it is who restrained their hands from you and your hands from them, in the vale of makka so, after he had made you superior to them; and allah is of that which ye work ever a beholder.

Svahili

na yeye ndiye aliyeizuia mikono yao kwenu, na mikono yenu kwao, katika bonde la makka baada ya kukupeni ushindi juu yao. na mwenyezi mungu ni mwenye kuyaona myatendayo.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Daha iyi çeviri için
8,913,807,223 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam