İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
jer za to i poreze dajete; jer su sluge boije koje su za to isto postavljene.
kwa sababu hiyohiyo ninyi hulipa kodi; maana viongozi hao humtumikia mungu ikiwa wanatimiza wajibu wao.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
jer sluba ove poreze ne ispunjuje samo nedostatak svetih, nego èini te se i mnoge hvale daju bogu,
maana huduma hii takatifu mnayoifanya si tu kwamba itasaidia mahitaji ya watu wa mungu, bali pia itasababisha watu wengi wamshukuru mungu.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
ogledom poreze ove hvaleæi boga za vae pokorno priznanje jevandjelja hristovog, i za prostotu podele k njima i k svima,
kutokana na uthibitisho unaoonyeshwa kwa huduma hii yetu, watu watamtukuza mungu kwa sababu ya uaminifu wenu kwa habari njema ya kristo mnayoiungama, na pia kwa sababu ya ukarimu mnaowapa wao na watu wote.
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
petar reèe: hoæe. i kad udje u kuæu, preteèe ga isus govoreæi: ta misli simone? carevi zemaljski od koga uzimaju poreze i haraèe, ili od svojih sinova ili od tudjih?
petro akajibu, "naam, hulipa." basi, petro alipoingia ndani ya nyumba, kabla hata hajasema neno, yesu akamwuliza, "simoni, wewe unaonaje? wafalme wa dunia hukusanya ushuru au kodi kutoka kwa kina nani? kutoka kwa wananchi ama kutoka kwa wageni?"
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor