İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
basi, wakawapeleka, wakawasimamisha mbele ya baraza. kuhani mkuu akawaambia,
ויביאו אתם ויעמידום לפני הסנהדרין וישאלם הכהן הגדול לאמר׃
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
nilimpeleka mbele ya baraza lao kuu nikitaka kujua kisa cha mashtaka yao.
ובאשר חפצתי לדעת על מה שמנו אתו הורדתיו אל הסנהדרין שלהם׃
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
wale wazee wa baraza waliposikia hayo, walighadhibika sana, wakamsagia meno kwa hasira.
ויהי כשמעם את אלה התרגזו בלבבם ויחרקו עליו שניהם׃
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
wajumbe wote wa lile baraza waliposikia hayo, wakawaka hasira, hata wakaamua kuwaua.
ויהי כשמעם ויתרגזו ויתיעצו להרוג אתם׃
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
hivyo, waliwaamuru watoke nje ya baraza, nao wakabaki ndani wakizungumza kwa faragha.
ויצוו אתם לצאת חוצה מן הסנהדרין ויתיעצו יחדו׃
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
au, waache hawa walio hapa waseme kosa waliloliona kwangu wakati niliposimama mbele ya baraza lao kuu,
או אלה ידברו נא המה מה מצאו בי עול בעמדי לפני הסנהדרין׃
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
wote waliokuwa katika kile kikao cha baraza walimkodolea macho stefano, wakauona uso wake umekuwa kama wa malaika.
ויסתכלו בו כל הישבים בסנהדרין ויראו את פניו כפני מלאך אלהים׃
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
alikuwa akitazamia kuja kwa ufalme wa mungu. ingawa alikuwa mmoja wa baraza kuu la wayahudi, hakuwa amekubaliana nao katika kitendo chao.
אשר לא הסכים לעצתם ולפעלם ומחכה גם הוא למלכות האלהים׃
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
hapo, watu wote katika kile kikao cha baraza, wakapiga kelele na kuziba masikio yao kwa mikono yao. kisha wakamrukia wote kwa pamoja,
ויצעקו בקול גדול ויאטמו את אזניהם ויתנפלו עליו כלם יחד׃
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kwa namna hiyo, waliwachochea watu, wazee na walimu wa sheria. basi, wakamjia stefano, wakamkamata na kumleta mbele ya baraza kuu.
ויעוררו את העם ואת הזקנים והסופרים ויקומו עליו ויחטפהו ויביאהו לפני הסנהדרין׃
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
lakini mfarisayo mmoja aitwaye gamalieli ambaye alikuwa mwalimu wa sheria na aliyeheshimika sana mbele ya watu wote, alisimama mbele ya lile baraza, akataka wale mitume watolewe nje kwa muda mfupi.
ויקם בתוך הסנהדרין אחד מן הפרושים גמליאל שמו והוא מורה התורה מכבד בעיני כל העם ויצו להוציא את השליחים החוצה לזמן מעט׃
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kuhani mkuu na baraza lote la wazee wanaweza kushuhudia jambo hilo. kutoka kwao nilipokea barua walioandikiwa wale ndugu wayahudi waliokuwa huko damasko. nilikwenda damasko ili niwatie nguvuni watu hao na kuwaleta wamefungwa mpaka yerusalemu ili waadhibiwe.
כאשר גם יעיד עלי הכהן הגדול וכל בית הזקנים אשר מהם לקחתי מכתבים ואלך אל האחים לדמשק לאסר אף את הנמצאים שמה להביאם ירושלים למען יוסרו׃
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
sasa basi, ninyi pamoja na baraza tumeni ujumbe kwa mkuu wa jeshi ili amlete paulo kwenu mkijisingizia kwamba mnataka kupata habari kamili zaidi juu yake. tuko tayari kumuua hata kabla hajafika karibu."
ועתה הודיעו אתם והסנהדרין את שר האלף ויורידהו מחר אליכם כאלו תחפצו לדרש היטב את ענינו ואנחנו נכונים להמיתו בטרם יקרב אליכם׃
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
hapo akaja yosefu mwenyeji wa armathaya, mjumbe wa baraza kuu, aliyeheshimika sana. yeye pia alikuwa anatazamia kuja kwa ufalme wa mungu. basi, alimwendea pilato bila uoga, akaomba apewe mwili wa yesu.
ויבא יוסף הרמתי יועץ נכבד אשר היה מחכה גם הוא למלכות האלהים ויתחזק ויבא אל פילטוס וישאל את גופת ישוע׃
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
wakati huo paulo alikwisha tambua kwamba sehemu moja ya wanabaraza wale ilikuwa ni masadukayo na nyingine mafarisayo. basi, alipaaza sauti yake mbele ya baraza: "ndugu zangu, mimi ni mfarisayo, mwana wa mfarisayo. mimi nimeletwa mahakamani kwa kuwa ninatumaini kwamba wafu watafufuka."
ופולוס ידע כי מקצתם צדוקים ומקצתם פרושים ויצעק בתוך הסנהדרין אנשים אחים פרוש בן פרוש אנכי ועל תקות המתים ותחיתם אני נדין׃
Son Güncelleme: 2012-05-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor