İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
jenerali abdel fattah al-sisi alishinda kwa kishindo, akimbwaga mpinzani wake wa pekee hamdeen sabahi, ambaye amekuwa wa tatu.
general abdel fattah al-sisi won a landslide victory, topping his only oppopent hamdeen sabahi, who came in third place.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
brankovikj amekumbana na tahayaruki ya kujikuta mali zake zikitaifishwa mara mbili na serikali kwa miaka 65 iliyopita, na ingawa alishinda kesi mahakamani kuhusu suala hilo, bado taasisi za kiserikali zimeshindwa kutekeleza maamuzi hayo ya kimahakama na kumrejeshea mali zake.
brankovikj has had his property nationalized twice by the state over the last 65 years, and although he won all the court cases regarding this matter to date, macedonian state institutions have failed to implement the verdicts and return his property.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
mwishowe alishinda, hata hivyo, kwa kiasi kikubwa kwa sababu wapiga kura walitaka "kumwuunga mkono na kumsaidia mtu aliyeonekana ni dhaifu," schmidt anasema.
he ended up winning, however, largely because voters wanted to “support and help the person who is being hounded,” schmidt argues.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
n’diaye, aliyezaliwa mwaka 1967 na mama mfaransa na baba msenegali, alishinda tuzo ya goncourt kutokana na riwaya yake “trois femmes puissantes” (”wanawake watatu wenye nguvu”), hadithi inayohusu wanawake waliojikuta katikati ya ufaransa na senegal na katika mkasa wa dhiki mbaya ya uhamiaji usio halali kutokea afrika.
n'diaye, born in 1967 to a french mother and a senegalese father, won the goncourt prize for her novel, "trois femmes puissantes" ("three powerful women"), a story about three women caught between france and senegal and the hellish ordeal of illegal migration from africa.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor