Şunu aradınız:: kiini (Svahili - İngilizce)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

English

Bilgi

Swahili

kiini

English

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

ramani: kiini cha tetemeko hilo la ukubwa wa 8.2 kaskazini mwa chile

İngilizce

map: epicenter of the 8.2 magnitude earthquake in northern chile

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

rwanda yapiga hatua kubwa kuunda kiini cha teknohama katika ukanda mzima:

İngilizce

rwanda's strides to build a regional ict hub:

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kama hatutaona, tutajua kwamba (utawala huo) umeoza mpaka kwenye kiini.

İngilizce

if we do not, we will know that it is rotten to the core.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

global voices iko katika kiini cha mazungumzo halisi ya kidunia, na mchango wako utatusaidia kutufanya tuendelee kuwa tulipo.

İngilizce

global voices is at the centre of a truly global conversation, and your support helps keep us there.

Son Güncelleme: 2023-08-27
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

akitaarifu kutokea uwanja wa tahrir square, ambapo ndipo palipo na kiini cha mapinduzi ya misri katika mji wa kibiashara wa cairo:

İngilizce

reporting from tahrir square, the epicentre of the egyptian revolution in downtown cairo, reports:

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

mbinu ya tatu ni ya chanjo ya asidi ya kiini cha chembe (chanjo za dna au rna, mbinu mpya ya kutengeneza chanjo).

İngilizce

a third strategy is that of the nucleic acid vaccines (dna or rna vaccines, a novel technique for creating a vaccination).

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

hii ni sababu ambayo reuters ilitoa usaidizi wa kiini katika miaka yetu mitatu ya kwanza, na sababu ambayo mashirika mengi ya habari yanaendelea kufanya kazi na wahariri wet una kuwasiliana na watu wanaojitolea kwa ajili ya mahojiano.

İngilizce

this is why reuters provided critical core support in our first three years, and why a many news organizations continue to work with our editors and to contact our volunteers for interviews.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

karibu na kiini cha tetemeko, robinson esparza wa gazeti la kiraia la el amaule , ambalo ni sehemu ya mtandao wa diarios ciudadanos amekuwa akiweka habari mpya kadri zinavyotokea kutoka katika habari mpya za kanda na taifa .

İngilizce

near the epicenter, robinson esparza of the citizen newspaper el amaule , part of the diarios ciudadanos network has been updating a post with the latest regional and national news .

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

hata hivyo, ujumbe ni kwa ajili ya mahakimu kufuatilia kiini cha sheria na kutoa ruhusa hii kwa wanawake wale ambao hawahusishwi na mashitaka ya jinai ya matumizi ya nguvu, kuhakikisha kwamba idadi kubwa ya raia iliyobaki haiuchukulii ujauzito kama kadi ya kumtoa mtu jela bure.

İngilizce

however, the message is for magistrates to follow the spirit of the law and grant this permission to those women not involved in violent crimes, to ensure that the rest of the civilian population doesn't see pregnancy as a get out of jail free card.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

dr. atuguba katika mahojiano yake kwenye kipindi cha citi breakfast jumatano alisema kiini cha maslahi ya wanajeshi hao nchini ghana ni kuwafundisha kuwa walinzi wa maslahi yao wananchi wa mkoa wa magharibi wa ghana, ambako kwenye ufukwe wake, nchi itakuwa ikichimba mafuta.

İngilizce

dr. atuguba in an interview on the citi breakfast show on wednesday said the essence of militants' interest in ghana is to mentor folks in the western region of ghana, on whose offshore, the country will be drilling oil to be protective of their interest.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

asidi za kiini cha chembe (dna na rna) (mkuzaji wa awamu ya i na chanjo kilichoteuliwa: moderna, mrna-1273)

İngilizce

nucleic acid (dna and rna) (phase i developer and vaccine candidate: moderna, mrna-1273)

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kuna kurasa za kutafiti za twita “#madagascar”, ambalo ndio neno-kiini ambalo watu wamekuwa wakilitumia wakati wote katika majuma yaliyopita ambayo yalijaa fukuto la kisiasa na ghasia za hapa na pale.

İngilizce

this is a live search of twitter for "#madagascar", which is the tag people have been using throughout the past weeks of political tension and occasional violence.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Daha iyi çeviri için
7,762,637,567 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam