Şunu aradınız:: kuheshimu (Svahili - İngilizce)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

English

Bilgi

Swahili

kuheshimu

English

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

mtu akikujengea hutayari jitahidi kuheshimu ata kwa kidogo, mtu kukupa mda jitahidi

İngilizce

you are the muhim in my life

Son Güncelleme: 2023-09-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

ilani hiyo iligusia juu ya ahadi ya pap kuheshimu maoni tofauti katika jamii.

İngilizce

the manifesto mentioned about the commitment of pap to respect diverse views in society.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

tunaahidi kuheshimu, kusaidia, kufundisha, kujifunza na kusikiliza kutoka kwa kila mmoja wetu.

İngilizce

we pledge to respect, assist, teach, learn from, and listen to one other.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

hakuna katika haya yaliyogonga vichwa vya habari kama mwito wake kwa taifa hili kuheshimu haki za mashoga.

İngilizce

none of these have made as much news as his call on the nation to respect gay rights.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

tayari tumesema, na tunajitolea tena kuheshimu ahadi zetu kwa makontrakta wetu na wafanyakazi wetu wanaofanya kazi kwa saa.

İngilizce

we have already said, and are recommitting to honor our commitments to our contractors and hourly staff colleagues.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

watu wengi walihamasisha kutokusambaza video hiyo kama moja ya juhudi za kuheshimu ndugu wa familia pamoja na kutunza heshima yake.

İngilizce

many discouraged others from spreading those scenes in an effort to respect the victim's family and honor his memory.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kama angeweza kuja na shehena ya kuheshimu haki za raia na kisha kuzidunga moja kwa moja kwenye mishipa ya viongozi wetu, ningeridhika.

İngilizce

if he could bring along plane-load of respect for civil rights and inject it directly into my government's veins i would be happier.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kwa hivyo twatoa wito kwa serikali ya israeli kuheshimu sheria za kimataifa na kugeuza idhini ya nyongeza ya makazi elfu moja na katika west bank.

İngilizce

we thus call for the israeli government to respect international law and reverse the approval of the thousand plus additional settlements units in the west bank.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

hata vivyo, rachna aliwakumbushas watumiaji wa mtandao wa intaneti wanaoshiriki kwenye midahalo ya kisiasa kuheshimu hali ya mgongano wa mawazo:

İngilizce

however, rachna reminded cambodian netizens participating in political debates to respect diverse views:

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

tarehe 26 machi 2020, wataalam wengi wa haki za kibinadamu wa un walisisitiza kuheshimu haki za kila binadamu katika janga la covid-19.

İngilizce

on 26 march 2020, dozens of un human rights experts emphasized respecting the rights of every individual during the covid-19 pandemic.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

@egypresidency: rais mosry anawasihi wananchi na wanajeshi kuheshimu sheria na katiba na kutokukubali mapinduzi haya yanayoirudisha #misri nyuma

İngilizce

@egypresidency: pres. morsy urges civilians and military members to uphold the law & the constitution not to accept that coup which turns #egypt backwards

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Svahili

kiongozi huyo aliongeza kwamba ni muhimu "kuheshimu mitazamo na fikra za wengine" bila kutumia " maneno au vitendo vya vurugu".

İngilizce

when it comes to foreign businessmen based in angola, they have no intention of returning to their home countries.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Svahili

majaribu na mahangaiko ya watu waliooana huku wakiwa ni wa asili tofauti yaonyesha, kama kioo, ni kwa kiasi gani sisi - kama watu tuliostaarabika - tumefikia katika kupokea na kuheshimu tafauti zetu.

İngilizce

the trial and tribulations of interracial couples show a mirror to how far we-as a civilization have come in accepting and respecting differences.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kuwa hivyo, maana yake ni kuheshimu watu wote kwa kuwa ni sura ya uumbaji wa mungu –ikijumuisha wahalifu, mashoga, wasagaji, waongo, makahaba na wanaofanana na hao, wakati huohuo tukihukumu vitendo vyao hivyo vya dhambi, ili wageuke.

İngilizce

being such means respect for all persons as they are god’s imagery creation – including criminals, homosexuals,lesbians, liars, prostitutes and the like, while at the same time condemning their sinful activities, so that they turn away.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Daha iyi çeviri için
7,738,059,867 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam