Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
maigizo
drama
Son Güncelleme: 2020-02-22
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
kwa miaka ya hivi karibuni, bunge la tanzania limekuwa na mfululizo wa matukio ya kustaajabisha na vituko mithili ya maigizo.
over the last few years, tanzania's parliament has become fodder for fantastic theatrics.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
@maljaya3: @omarc utakaporudi tena, watakuwa wameshaandaa kitu ambacho watataka wewe ukione - maigizo fulani hivi
@maljaya3: @omarc by the time you get there, they would have prepared the stage for you to see what they want you to see.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
siku chache baadae, mhashamu askofu mkuu wa douala samuel kleda, alitupilia mbali madai ya muujiza huo akiuita maigizo, lakini hata hivyo, kauli hiyo haikuwazuia watu hao kuendelea kumiminika kwenda kwenye nyumba hiyo ya amougui minkan.
a few days later, mgr. samuel kleda, the archbishop of douala, dismissed the alleged apparition as a hoax, but this did little to dampen the enthusiasm of the faithful who continued to throng to the home of amougui minkan.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
bunge la watu wa zambia (zapp) ni maigizo ya bunge la zambia linaloundwa na makundi mbalimbali ya raia ambao kwa minajili ya kujenga hujadili, huchambua, kubishana, kufuatilia na kukubaliana katika masuala ambayo yanahusu utawala wa kidemokrasia.
the zambian people’s parliament (zapp) is a replication of the zambian parliament comprising a cross-section of citizens who constructively discuss, analyze, debate, persuade and agree on issues which border on democratic governance.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans: