Şunu aradınız:: sera kwenye misingi ya umiliki (Svahili - İngilizce)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

English

Bilgi

Swahili

sera kwenye misingi ya umiliki

English

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

ninadhani misingi ya kidemokrasia inafanana duniani kote na kwamba tunapswa kuiheshimu.

İngilizce

i think that democratic principles are universal and that we are supposed to abide by them.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kila mtu atalipwa kwa misingi ya saa zake za kawaida walizofanya kazi wakati wa hali za kawaida.

İngilizce

everyone will be paid on the basis of their usual hours worked during normal circumstances.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

tutapanga na jumuisha data yetu kwa kutumia misingi ya kupatikana, kufikiwa, kuhamishwa na kutumika tena.

İngilizce

we will curate our data using the findable, accessible, interoperable, reusable principles.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kuwatesa na kuwashitaki watu kwa kutokukubaliana au kuikosoa serikali ni kinyume na misingi ya demokrasia na uwajibikaji wa serikali.

İngilizce

persecuting and prosecuting people for dissenting or for criticising the government goes against the very fundamental principle of democracy and accountability of government.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

na kumbukeni ibrahim na ismail walipo inyanyua misingi ya ile nyumba wakaomba: ewe mola mlezi wetu!

İngilizce

and (remember) when ibrahim (abraham) and (his son) isma'il (ishmael) were raising the foundations of the house (the ka'bah at makkah), (saying), "our lord!

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Svahili

kabla ya uchaguzi wa rais wa juni 2009 misingi ya mabadiliko ya vyombo vya habari vya kiraia nchini iran ilikuwa ni youtube na blogu.

İngilizce

before the june 2009 presidential election the most dynamic pillars of citizen media in iran were youtube and blogs.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kama ilivyokuwa kwenye machafuko yaliyopita, mapambano ya sasa huko jos yamekuwa yakipiginwa katika misingi ya kidini – jos ipo kwenye mpaka kati ya kaskazini ya naijeria yenye waislamu wengi na kusini kwenye wakristu wengi.

İngilizce

like the previous riots, the current conflict in jos has been fought along sectarian lines – jos lies on the border between nigeria's muslim-majority north and christian-majority south.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

mashirika haya hayajawahi kuwa na wataalamu wanaoendesha bodi husika bali yamejaa wafanyakazi kwa misingi ya mahusiano ya undugu, ubinamu, upwa na ujukuu na wanasiasa

İngilizce

parastatals have not had professionals running the boards but they have been staffed with relatives, nephews, nieces and great-grandsons of the politicians

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

nina matumaini ataliongoza taifa hili kufikia misingi ya sheria na usawa kwa wote, na kwamba atakaa mbali na vitendo vya kibabe, popote itakapokuwa.

İngilizce

i hope that he leads this nation to justice and equality for all, and that he stays away from aggression, wherever it may be.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

lakini ni kama amesahau kuwa wiki chache zilizopita watu weupe wa afrika kusini wamekuwa wakishambuliwa na julius malema na hilo halionyeshi kuwa linaweza kukomesha chuki za misingi ya rangi na kuwashutumu watu weupe.

İngilizce

however he seems to forget that in the past few weeks white south africans have been constantly attacked by julius malema that cant seem to stop the racial hatred and blaming of white people.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

c / ni sera na dhamira ya kampuni kuwa haina ubaguzi kwa misingi ya rangi, umri, rangi, jinsia, asili ya kitaifa, ulemavu wa mwili au kiakili, au dini.

İngilizce

it is the policy and commitment of the company that it does not discriminate on the basis of race, age, color, sex, national origin, physical or mental disability, or religion.

Son Güncelleme: 2019-08-23
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

pia, jacob zuma amesema leo kuwa “waafrika kusini wasiruhusu wachochezi kutumia tukio hili na kuchochea au kutia mafuta chuki za misingi ya rangi".

İngilizce

jacob zuma also said today that "south africans not to allow agent provocateurs to take advantage of this situation by inciting or fuelling racial hatred”.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Svahili

je, si suala la kujipatia hazina kubwa namna hii inayoipa nchi nafasi ya kuangalia chaguzi tofauti, na siyo tu njia za kusimika masuluhisho yanayotoka juu kuja chini katika misingi ya mawazo ya kizamani?

İngilizce

is not the point of acquiring such largesse that it gives a country the chance to look at quite different options, not merely ways to impose top-down solutions based on old ideas?

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

nchi zilizowahi kutawaliwa na wakoloni zilirithi uchumi na taasisi za kijamii zenye misingi ya kinyonyaji, hali inayodhihirishwa na pande mbili zenye tofauti kubwa kati ya sekta ndogo rasmi na sekta kubwa isiyo rasmi, ikiwa ni pamoja na kilimo.

İngilizce

postcolonial states inherited extractive economic and social institutions, characterised by a sharply marked dualism between a small formal sector and a huge informal sector, including farmers.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

juma lililopita, huko hammond, louisiana, beth humphrey (ambaye ni mzungu) na terence mckay (ambaye ni mweusi) walituma maombi ya kupata cheti cha ndoa na walinyimwa kwa misingi ya rangi zao.

İngilizce

last week, in hammond, louisiana, beth humphrey (who is white) and terence mckay (who is black) applied for a marriage license and were refused on the basis of their races.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Benzerlik derecesi düşük bazı insan çevirileri gizlendi.
Benzerlik derecesi düşük olan sonuçları göster.

Daha iyi çeviri için
7,773,228,269 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam