Şunu aradınız:: wachimbaji (Svahili - İspanyolca)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

Spanish

Bilgi

Swahili

wachimbaji

Spanish

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İspanyolca

Bilgi

Svahili

juhudi za uokoaji kuwatafuta wachimbaji 25 hadi 30 walionaswa katika mgodi katika idara ya cauca.

İspanyolca

se lleva a cabo el rescate de 25 a 30 mineros atrapados en una mina del #cauca ➜http://t.co/cm0xpwdyfq pic.twitter.com/6xpfkfdls4 — hsbnoticias (@hsbnoticias) mayo 1, 2014

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

maandamano haya ya kihistoria ya wachimbaji wa madini yalianza tena asubuhi ya jumatano ya tarehe 11, julai.

İspanyolca

la histórica protesta minera se retomó en la capital el miércoles 11 de julio desde por la mañana.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

watoto wa kike kwenye migodi hufanya kazi ya kuchambua dhahabu au kutoa huduma anuai kwa wachimbaji madini kama vile kuwafulia nguo au kuwapikia chakula.

İspanyolca

las niñas en las minas lavan oro o trabajan para los mineros, lavando ropa o cocinando.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

hispania: maandamano ya wachimbaji madini yaungwa mkono na wananchi makala haya ni sehemu ya habari zetu maalumu zaulaya katika migogoro.

İspanyolca

españa: apoyo a lucha minera: “¡que sí, que sí nos representan!”

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

wachimbaji wa makaa ya mawe sio tu kuwa waliangaza mitaa kwa taa walizokuwa wameziweka vichwani mwao, pia walitumia mwanga kwa waandamanaji kama ishara yenye kubeba maana pana zaidi.

İspanyolca

los trabajadores del carbón no solo iluminaron las calles con las linternas colocadas en sus frentes: fueron luz también para los manifestantes en un sentido más amplio.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

maelfu ya watu waliingia mitaani kwa lengo la kuwaunga mkono wachimbaji wa madini wa nchini hispania, na walijumuika nao walipowasili katika jiji la madridi baada ya wachimba madini hao kutembea kilomita 400 wakitokea kaskazini mwa hispania.

İspanyolca

miles de personas salieron a la calle para mostrar su apoyo a los mineros españoles y unirse a ellos tras su llegada a madrid luego de haber caminado 400 kilómetros desde el norte de españa.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kupitia mitandao ya kijamii, watu wengi waliwahamasisha wachimbaji madini kuendelea kupinga hatua ya serikali kusitisha utoaji wa ruzuku kwa makampuni ya kuchimba madini, hatua mbayo ingeweza kusababisha kufa kwa sekta ya madini nchini humo.

İspanyolca

en las redes sociales, numerosas personas animaron a los mineros a seguir luchando contra los recortes que podrían llevar a la desaparición de su sector.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kwa kuwa yalikuwa ni maandamano yenye nia ya kuiasi serikali, zaidi kuliko maandamano mengine yaliyokwisha itishwa nchini hispania, juhudi za wachimbaji wa madini hawa zimekuwa ni kiini cha harakati za maandamano ya wafanyakazi na yamekuwa ni hatua kali zaidi za kuipinga serikali kwa hatua zake za kutokutoa ruzuku kwa makampuni ya wachimba madini.

İspanyolca

por su carácter fuertemente rebelde, más que el de otras protestas llevadas a cabo en españa, la lucha minera se ha convertido en el puño de la protesta obrera y en el rechazo más radical a los recortes del gobierno.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

wachimbaji hao walipatwa na mshangao kwa jinsi watu walivyojikusanya, jambo ambalo liliongeza chachu ya kile kinachojulikana katika mitandao ya kijamii kama #nocheminera (usiku wa uchimbaji madini).

İspanyolca

los mineros manifestaron su sorpresa por fuerte la movilización que lograron, hecho que añadió intensidad a la que es conocida en las redes como la #nocheminera.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

miongoni mwa misemo maarufu ilikuwa, “ndio tunaweza!”, “ndio, ndio, (wachimbaji hawa) wanatuwakilisha!” na “huu ndio mfumo wetu” wakirejelea ushindi wa hivi karibuni wa nchi ya hispania katika kinyang’anyiro cha michuano ya mpira wa miguu barani ulaya ambapo nchi hii ilikuwa bingwa.

İspanyolca

entre los lemas más sonados se escucharon «¡sí se puede!», «¡que sí, que sí nos representan!» y «¡esta es nuestra selección!», en referencia a la reciente victoria futbolística de españa en la eurocopa.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Daha iyi çeviri için
7,761,037,017 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam