Şunu aradınız:: mitandao (Svahili - Hollandaca)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

Dutch

Bilgi

Swahili

mitandao

Dutch

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

Hollandaca

Bilgi

Svahili

tafadhali hakikisha unasambaza habari hizi kupitia mitandao yako!

Hollandaca

en vergeet niet deze pagina te delen op je netwerken!

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

tunisia: mwaka 2011 katika picha za mitandao ya kijamii

Hollandaca

tunesië: 2011 in foto's uit burgermedia

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

upatikanaji: kuza upatikanaji wa mitandao ya kasi na nafuu duniani kote.

Hollandaca

toegang: bevorder universele toegang tot snelle en betaalbare netwerken.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

soma pia: namna shambulizi la westgate jijini nairobi lilivyobainikia kupitia mitandao ya kijamii.

Hollandaca

lees ook: how the nairobi mall attack unfolded on social media.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

na ikiwa anafikiri mafanikio ya muziki huo wa kikorea duniani kote yangewezekana pasipo mitandao ya kiraia na youtube.

Hollandaca

en denkt ze dat het wereldwijde succes van k-pop mogelijk zou zijn geweest zonder sociale media en youtube?

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

hata hivyo habari zimekuwa zikitoka kwa kutumia mitandao ya kijamii kama vile twita na blipea ambayo ilikuwa hai kutwa nzima.

Hollandaca

maar er wordt informatie verspreid via sociale netwerken als twitter en blipea, die de hele dag zeer actief waren.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

pamoja na kuongezeka kwa idadi ya lugha zinazotumiwa mtandaoni, jamii nyingi bado zinakabiliana na changamoto zinapojaribu kuwasiliana kupitia mitandao za kijamii.

Hollandaca

er worden steeds meer talen gebruikt op het web, maar veel gemeenschappen hebben nog altijd moeite om via de social media te communiceren.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kifungo chake kimelinganisha na kifungo cha miaka 77 alichohukumiwa jangili wa faru mwezi julai, kilichowashangaza na kuwatia hasira watumiaji wengi wa mitandao ya twita.

Hollandaca

zijn veroordeling kwam in de nasleep van de veroordeling tot 77 jaar van een neushoornstroper in juli, wat veel twitter-gebruikers shockeerde en kwaad maakte.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

anuani hizo za mitandao ya kijamii zinaendeshwa kwa lugha za ki-thai na kiingereza, kwa ajili ya hadhira ya nyumbani huko thailand na duniani kote.

Hollandaca

om mensen in zowel thailand als in de rest van de wereld aan te spreken, worden de pagina’s op sociale media in het thai en het engels onderhouden.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

picha za uokozi kwa haraka zilipata umaarufu katika mitandao ya kijamii, ambapo kwa chini ya masaa 48, zilikwisha kutazamwa na watu zaidi ya 77,000.

Hollandaca

een video-opname van de reddingsactie vond gauw zijn weg online waar het meer dan 77.000 keer bekeken werd in minder dan 48 uur.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

ujuzi wa solana umemsaidia kumudu vyema majukumu ya uhariri wa global voices katika kipindi ambacho uandishi wa habari ulishuhudia blogu na mitandao ya kijamii vikigeuka kuwa majukwaa muhimu kuwawezesha wananchi wa kawaida kusema mawazo yao.

Hollandaca

onder leiding van solana doorstond global voices het snel veranderende landschap van de sociale media, want bloggen werd in de sociale media het belangrijkste platform voor burgers die gehoord willen worden.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kama matokeo ya wasifu wa pisarev kwenye blogu yake na mitandao ya kijamii, mashirika kadhaa huru ya habari yalichapisha habari za kesi ya brankovikj na watu sasa wameanza kutoa maoni si tu kuhusu suala hili pekee bali na masuala mengine ya kimahakama ya masedonia na mfumo wa kiserikali kwa ujumla kwenye mitandao ya kijamii na kwingineko.

Hollandaca

de mensen leveren nu niet alleen commentaar op dit ene specifieke geval, maar praten in de sociale media en elders over de macedonische gerechtshoven en overheidsinstellingen in het algemeen.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

mamlaka zinasema watu wanne walipoteza maisha na 10 wengine walijeruhiwa katika mapigano wakati wa juma la kura hiyo ya maoni kama alama habari za #sassoufit (inayochezea jina la ukoo la rais huyo na kulichanganya na neno la kifaransa lenye maana 'imetosha') na #sassoudegage (sassou nje) zikitumika sana kwneye mitandao ya kijamii.

Hollandaca

de autoriteiten melden 4 doden en 10 gewonden . op de sociale media worden hashtags verspreid zoals #sassoufit (een woordspeling met de voornaam van de president en 'ça suffit' dat het is genoeg betekent) en #sassoudegage (sassou flikker op) om te protesteren tegen de bedoelingen van de aftredende president.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Daha iyi çeviri için
7,787,522,026 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam