来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
paulo alikuwa amekusudia kuendelea na safari kwa meli bila kupitia efeso ili asikawie zaidi huko asia. alikuwa na haraka ya kufika yerusalemu kwa sikukuu ya pentekoste kama ingewezekana.
cxar pauxlo decidis preterveturi efeson, por ne perdi tempon en azio; cxar li rapidis, por esti en jerusalem, se li nur povos, en la pentekosta tago.
siku ya kwanza kabla ya sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, wanafunzi walimwendea yesu wakamwuliza, "unataka tukuandalie wapi chakula cha pasaka?"
kaj en la unua tago de macoj la discxiploj venis al jesuo, dirante:kie vi volas, ke ni pretigu por vi, por mangxi la paskon?
basi, alipofika galilaya, wagalilaya wengi walimkaribisha. maana nao pia walikuwa kwenye sikukuu ya pasaka, wakayaona mambo yote yesu aliyotenda huko yerusalemu wakati wa sikukuu hiyo.
kiam do li venis en galileon, la galileanoj akceptis lin, cxar ili jam vidis cxion, kion li faris en jerusalem dum la festo; cxar ili ankaux iris al la festo.
siku ya kwanza ya sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, wakati ambapo mwana kondoo wa pasaka huchinjwa, wanafunzi wake walimwuliza, "wataka tukuandalie wapi karamu ya pasaka?"
kaj en la unua tago de la macoj, kiam oni bucxis la paskon, liaj discxiploj diris al li:kien vi volas, ke ni iru, kaj pretigu, por ke vi mangxu la paskon?
ilikuwa kabla ya sikukuu ya pasaka. yesu alijua kwamba saa yake ya kuondoka ulimwenguni na kwenda kwa baba ilikuwa imefika. alikuwa amewapenda daima watu wake walioko duniani; naam, aliwapenda mpaka mwisho!
kaj antaux la paska festo jesuo, sciante, ke lia horo venis, por ke li transiru el cxi tiu mondo al la patro, aminte siajn proprulojn, kiuj estis en la mondo, amis ilin gxis la fino.