您搜索了: kupoteza (斯瓦希里语 - 意大利语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

Italian

信息

Swahili

kupoteza

Italian

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

意大利语

信息

斯瓦希里语

anaye geuza shingo yake ili kupoteza watu waache njia ya mwenyezi mungu.

意大利语

gireranno il collo per sviare dal sentiero di allah.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

serikali zinaweza kuwapuuzia wakosoaji wenye kelele nyingi lakini pia zinaweza kupoteza umaarufu.

意大利语

i governi possono sempre ignorare le accese critiche, ma a costo di perdere la propria credibilità.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baadhi ya watu waliokuwa hapo walikasirika wakajisemea, "kwa nini kupoteza ovyo marashi haya?

意大利语

ci furono alcuni che si sdegnarono fra di loro: «perché tutto questo spreco di olio profumato

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

watu sita wameripotiwa kupoteza maisha nchini chile, ikiwa ni pamoja na mwanamme mmoja raia wa peru.

意大利语

in cile sono morte sei persone, compreso un uomo peruviano.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ingalikuwa afadhali kwao kama wasingalijua kamwe njia hiyo ya uadilifu kuliko kujua na kisha kuiacha na kupoteza amri takatifu waliyopokea.

意大利语

meglio sarebbe stato per loro non aver conosciuto la via della giustizia, piuttosto che, dopo averla conosciuta, voltar le spalle al santo precetto che era stato loro dato

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ni filamu inayotia huzuni sana kuitazama na kuona maovu na kupoteza maana kwa mfumo ambao haujali hata kidogo masuala ya utu.

意大利语

atroce. difficile assistere all'orrore e all'assurdità di un sistema che non ha alcun rispetto per gli esseri umani.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

woga wa kupoteza kura za wapiga kura wahafidhina kwa siku za mbeleni, inaonekana kwamba wanasiasa wa mrengo wa kushoto waliona ni bora kubaki kimya.

意大利语

pare che i politici di sinistra abbiano preferito rimanere in silenzio per paura di perdere voti da parte dell’elettorato conservativo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

sehemu ya nchi hiyo ilisherehekea mwendelezo wa mapinduzi ya bolivia" chini ya chávez, wakati upande mwingine ukilalamikia kupoteza uchaguzi kwa mara nyingine.

意大利语

mentre una parte del paese festeggia il proseguimento, sotto chávez, della 'rivoluzione bolivariana' , l'altra piange l'ennesima sconfitta elettorale.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

tunazuia vitu ambavyo vinaweza kuchochea machafuko, vinavyoshinikiza au kuonyesha hali ya hatari au mambo ambayo si halali kwa mujibu wa sheria au yanayoonyesha kila dalili ya kuumiza au kusababisha watu kupoteza maisha.

意大利语

oniamo un limite ai contenuti intesi ad incitare la violenza o che incoraggino o mostrino attività pericolose o illegali e che rischino di causare gravi danni fisici o morte.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

licha ya kupoteza mapato kufuatia mlipuko wa kushtukiza wa ugonjwa huu pamoja na athari zinazokabili maisha ya kila siku, vyombo vya habari vimeendelea kuwa mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya ugonjwa huu.

意大利语

nonostante la perdita di entrate dovuta all'emergenza per l'epidemia e l'effetto sulla vita di tutti i giorni, i media hanno continuato a impegnarsi in questa battaglia.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

akitoa maoni yake katika habari inayopatika katika tovuti ya monitor, nkuutu anashauri kuwa mbunge huyu azingatie kwenye masomo kwa kuwa anaweza kupoteza kiti cha ubunge muda wowote, hali itakayomlazimu kutafuta kazi:

意大利语

commentando un articolo sul sito web monitor, nkuutu incoraggia la neoeletta a concentrarsi negli studi, dal momento che il posto da deputata può essere perso in qualsiasi momento e di conseguenza avrà bisogno di cercarsi un lavoro:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wajane kama hao huanza kupoteza wakati wao wakizurura nyumba hata nyumba; tena ubaya zaidi ni kwamba huanza kuwasengenya watu, na kujitia katika mambo ya watu wengine, huku wakisema mambo ambayo hawangepaswa kusema.

意大利语

inoltre, trovandosi senza far niente, imparano a girare qua e là per le case e sono non soltanto oziose, ma pettegole e curiose, parlando di ciò che non conviene

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

basi, kama jicho lako la kulia linakukosesha, ling'oe ukalitupe mbali. afadhali zaidi kwako kupoteza kiungo kimoja cha mwili wako, kuliko mwili wako wote kutupwa katika moto wa jehanamu.

意大利语

se il tuo occhio destro ti è occasione di scandalo, cavalo e gettalo via da te: conviene che perisca uno dei tuoi membri, piuttosto che tutto il tuo corpo venga gettato nella geenna

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

badala ya kushindana katika uchaguzi rasmi, baadhi ya wanaharakati wa sehemu hizo walichuana katika uchaguzi wa uratibu baraza, wakishiriki katika midahalo ya televisheni, mashindano ya insha, kupiga kampeni, kupoteza muda katika misuguano ya ndani ya chama - yote hayo kwa ajili ya kugombea nafasi katika taasisi ambayo haitakuwa na meno yoyote, hata kama itakuja kuwepo.

意大利语

piuttosto che competere nelle elezioni formali, dozzine di attivisti locali si sono uniti alla gara per il consiglio di coordinamento, partecipando a dibattiti televisivi, ad una garz di saggi critici, alla campagna elettorale, e ad una miriade di bisticci interni - tutto per un seggio in un'istituzione che sarà completamente separata da ogni potere reale, persino dopo aver iniziato ad esistere.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,737,855,242 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認