您搜索了: ndie mwanamke wa maisha (斯瓦希里语 - 意大利语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

Italian

信息

Swahili

ndie mwanamke wa maisha

Italian

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

意大利语

信息

斯瓦希里语

mwanamke wa ivory cost aangushwa kutoka ghorofa ya sita kwa kudai mishahara yake

意大利语

libano: donna ivoriana gettata dal sesto piano per aver richiesto lo stipendio

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ni nani kati yenu kwa kuwa na wasiwasi anaweza kuongeza urefu wa maisha yake?

意大利语

chi di voi, per quanto si affanni, può aggiungere un'ora sola alla sua vita

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ni nani miongoni mwenu kwa kuwa na wasiwasi sana anaweza kuuongeza muda wa maisha yake?

意大利语

e chi di voi, per quanto si dia da fare, può aggiungere un'ora sola alla sua vita

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mexico: mwanamke wa miaka 20 ni mkuu mpya wa polisi katika mji wa kaskazini mwa mexico

意大利语

messico: studentessa ventenne diventa capo della polizia

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

raia wa afrika ya kusini nao wameitikia wito wa kutumia dakika 67 za siku yao ili kukuza ubora wa maisha nchini humo.

意大利语

i cittadini sudafricani hanno accolto l'appello a dedicare 67 minuti della loro giornata a migliorare la vita dei concittadini.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

oronoz rodríguez, ambaye anakuwa mwanamke wa tano kuitumikia mahakama kuu, alitoa shukrani zake kupitia tamko la maandishi :

意大利语

oronoz rodríguez, la quinta donna a prestare servizio alla corte suprema, ha espresso la propria gratitudine ed orgoglio in una dichiarazione scritta :

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hakika mfano wa maisha ya dunia ni kama maji tuliyo yateremsha kutoka mbinguni, kisha yakachanganyika na mimea ya ardhi wanayo ila watu na wanyama.

意大利语

in verità, questa vita è come un'acqua che facciamo scendere dal cielo, e che si mescola alle piante della terra di cui si nutrono gli uomini e gli animali.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

huyu ni hala, ambaye bado hajatimiza hata mwaka mmoja wa maisha yake, lakini tayari anabeba hisia za kurithi alizo nazo kila mpalestina anayeishi uhamishoni.

意大利语

È la piccola hala, che non ha ancora compiuto un anno, ma porta con sé il sentimento ereditato da ogni esiliato palestinese.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mradi wa maisha ya jamii uliweza kwa mafaniko makubwa kulitumia jukwaa hili kwa ajili ya kukuza uwazi wakati wa uchaguzi katika kipindi cha kabla ya uchaguzi wa mwaka 2011.

意大利语

community life project si è schierata con successo dalla parte della piattaforma per aver promosso trasparenza elettorale nella fase precedente al voto delle elezioni 2011.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kuhusu blogu ya usov ukrainska pravda, mtumiaji facebook anayejiita lyubomyr drozdovskyy alijaribu kutoa ufafanuzi kuhusiana na ukatili unaoshtua wa maisha katika gereza la lukyanivska kama yalivyoonyeshwa kwenye filamu:

意大利语

in ukrainska pravda lyubomyr drozdovskyy offre una propria interpretazione del motivo che si troverebbe dietro alle scioccanti crudeltà alla luk'janivs'ka:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

na wapigie mfano wa maisha ya dunia. hayo ni kama maji tunayo yateremsha kutoka mbinguni, yakachanganyika na mimea ya ardhi, kisha hiyo mimea ikawa vibuwa vinavyo peperushwa na upepo.

意大利语

proponi loro la metafora di questa vita: è simile ad un'acqua che facciamo scendere dal cielo; la vegetazione della terra si mescola ad essa, ma poi diventa secca, stoppia che i venti disperdono.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

" “mtangazaji habari wa zamani wa televisheni ya misri na mwanaharakati bothaina kamel alitangaza kwenye ukurasa wake wa twita usiku wa ijumaa saa za cairo kwamba ana mipango ya kugombea urais kwenye duru inayofuata ya uchaguzi, na kumfanya awe mwanamke wa kwanza kutangaza nia ya kutaka kuingia kwenye ofisi kuu nchini misri", manar ammar

意大利语

venerdì , in tarda serata, l'ex conduttrice televisiva e attivista egiziana bothaina kamel ha espresso via twitter l'intenzione di candidarsi alle prossime elezioni presidenziali, diventando la prima donna nella storia dell'egitto a correre per la carica di presidente.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

一些相关性较低的人工翻译已被隐藏。
显示低相关性结果。

获取更好的翻译,从
7,739,318,556 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認