您搜索了: jitihada (斯瓦希里语 - 法语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

French

信息

Swahili

jitihada

French

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

法语

信息

斯瓦希里语

jambo hilo pekee limeifanya jitihada hii kuwa ya thamani.

法语

en soi-même, cela justifie déjà l'existence de notre projet.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hakuna jitihada kubwa au utaratibu kwa ajili ya misaada.

法语

pas d'opération de grande envergure ou systématique pour l'aide.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

jitihada zetu zisingetangaza ujinga wako vizuri zaidi ya ulivyofanya mwenyewe.

法语

tous nos efforts n’auront pas aussi bien fait la publicité de votre stupidité.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

lakini jitihada za kujenga upya nchi hiyo zimeanza kuleta matokeo yanayoonekana.

法语

pourtant, la volonté politique affichée par le gouvernement commence à donner des fruits.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tangu wakati huo, jitihada za dhati zimewekwa katika utafiti wa hcov.

法语

lorsque le hcov-oc43 a franchi la barrière des espèces pour infecter les humains à partir du bétail domestique aux environs de 1890, une pandémie d’infection respiratoire a été signalée.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa njia yoyote ndogo niwezavyo, ninajaribu kutatua tatizo au kufanya jitihada.

法语

dans toute la mesure de mes moyens, je m'efforce de résoudre un problème ou ne serait-ce que faire un effort.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

lakini wapo watawala wengine ambao jitihada zao za kukwepa kuondoka madarakani zilifanikiwa.

法语

mais, d'autres dirigeants ont eu plus de succès dans leurs efforts pour éviter de renoncer au pouvoir.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

3) ufaransa haikuonekana kuvutiwa na jitihada za mazungumzo ya amano kabla ya mgogoro.

法语

3) la france ne semble pas s’intéresser outre mesure aux négociations de paix.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hapa ni pitio fupi la namna mbalimbali ambazo teknolojia ya kidijitali zinavyotumiwa katika jitihada hizi:

法语

voici un aperçu de quelles manières la technologie numérique peut être utilisée dans ces travaux :

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

rais wa naija hivi sasa anaendelea na jitihada zake za kubadili katiba ili aweze kugombea tena kwa muhula wa tatu.

法语

le président du niger est entrain d'essayer de changer la constitution afin qu'il puisse briguer un troisième mandat.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kuanzia siku ya 1, kumekuwa na jitihada za makusudi kujaribu kudhibiti kile ambacho papa anatakiwa kukiona na kukisikia.

法语

depuis le premier jour, il y a eu un effort intentionnel de limiter ce que le pape peut voir et entendre.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

jitihada za girifna ni mfano dhahiri wa uandishi wa habari za kiraia katika nchi ambapo uhuru wa kujieleza na kuripoti habari umebinywa.

法语

l'action de girifna illustre les avantages du journalisme citoyen dans un pays où la liberté de parole et d'information est écrasée.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

aliamini kuwa ahmed alikuwa ama mjini dadaab au aliwahi kuwepo pale lakini jitihada zake za kumtafuta hazikuzaa matunda na pindi alikata tama ya kumpata.

法语

il pensait qu’ahmed se trouvait à dadaab ou qu’il y avait vécu, mais ses efforts pour le retrouver se sont avérés infructueux, si bien qu’il a fini par abandonner tout espoir de le revoir un jour.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa wanawake wajawazito duniani kote kutokupata huduma za afya za namna yoyote, je jitihada zaidi zinahitajika kuwanufaisha wanawake walio gerezani?

法语

sachant que de nombreuses femmes de par le monde ne bénéficient d'aucuns soins médicaux, pensez-vous que les conditions des femmes en prison devraient être améliorées ?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika kujaribu kufanya tofauti, wananchi wa kenya mtandaoni wamefanya jitihada kubwa za kutangaza majina na sura za marehemu waliopoteza maisha yao kufuatia shambulio hilo.

法语

face à cela, les kenyans en ligne ont fait des efforts pour donner des noms et des visages aux victimes de la violence barbare.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika jitihada za kuziokoa lugha hizi zisipotee, wasemaji, wanazuoni na wataalamu wa teknolojia wanaungana kuchungua namna teknolojia za kidijitali zinavyoweza kutumiwa katika kuhuisha lugha.

法语

des locuteurs, des universitaires et des informaticiens joignent leurs efforts, en vue de préserver ces langues de la disparition, en explorant les possibilités offertes par les technologies dans leur revitalisation.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

2) ufaransa ilikuwa na wasiwasi kuwa jitihada za kujikinga zilizofanywa na watutsi zilifanyika uganda kwa kuratibiwa na nchi zizungumzazo kifaransa lengo likiwa ni kupunguza nguvu ya ufaransa kwenye eneo hilo.

法语

2) la france craint alors que l’offensive tutsi ne soit télécommandée via l’ouganda par les anglo-saxons, et ne vise à enfoncer un coin dans l’influence de la france sur la région

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ikiwa haiwezekani tena kudhibiti maenezi ya ugonjwa , jitihada basi zinahamishwa katika awamu ya kuepukana: hatua zinachukuliwa ili kupunguza kuenea na kuepukana na athari zake kwenye mfumo wa tiba ya afya na jamii.

法语

lorsqu’il n’est plus possible d’empêcher la propagation de la maladie, les efforts se tournent vers la phase d’atténuation : on prend des mesures pour ralentir cette propagation et atténuer ses effets sur le système des soins de santé et la société.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

bbc iliweka ukurasa huu wa facebook kama jitihada zake za kukwepa mashambulizi kuhusu masuala ya utawala wa sheria na dhana ya uhuru kufuatia mapinduzi ya mwezi mei, ikiwa ni pamoja na kuzuiliwa kwa mikusanyiko ya kisiasa na kukamatwa kwa mamia ya wanasiasa na wanaharakati wanaopinga mapinduzi ya kijeshi.

法语

la bbc a monté cette page facebook pour lutter contre les attaques systématiques de l'état de droit et des libertés qui ont suivi le coup d'état du mois de mai, dont l'interdiction de rassemblement et l'arrestation et l'emprisonnement de centaines de politiciens et d'activistes anti-coup d'état.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ni sehemu ya jitihada zilizochukuliwa na baraza la ushirikiano wa ghuba ya uarabuni (gcc) kuhakikisha uwepo wa sheria zinazolinda haki za watoaji huduma na kwamba hakuna matumizi mabaya ya zana hizi za mawasiliano.”

法语

elles font partie des efforts déployés par le conseil de coopération du golfe (ccg) pour s'assurer que l'existence d'une réglementation protège les droits des opérateurs et qu'il n'y a pas d'abus commis avec les applications de communication ".

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,762,629,889 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認