您搜索了: valentino (斯瓦希里语 - 法语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

法语

信息

斯瓦希里语

valentino

法语

valentin

最后更新: 2023-02-28
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

malaysia: harakati za kutovaa nguo za ndani wakati wa siku ya valentino

法语

malaisie : une saint-valentin sans culotte fait scandale

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

katika furaha, precious anawatakia kila mmoja siku njema ya wapendanao ya matakatifu valentino.

法语

sur une note plus joyeuse, precious a souhaité à toutes et tous une heureuse saint valentin.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

makala yake iliyofuatia katika siku ya wapendanao ya valentino ilitaka kuwakumbusha wasomaji jambo moja muhimu:

法语

sur son blog, le billet suivant qui concerne la saint-valentin a pour but de rappeler aux lecteurs un aspect important de la question :

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

harusi hiyo itatanguliwa na sherehe za kitamaduni za uchumba wakati wa siku ya wapendanao ya valentino tarehe 14 februari.

法语

cette union sera précédée de fiançailles traditionnelles le 14 février.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

wameahidi kuwasaka wale watakaojiunga na harakati hizo za kutovaa nguo za ndani kwa kuwa kusherehekea siku ya valentino ni kinyume na mafundisho ya kiislamu.

法语

ils ont promis de faire la chasse à ceux qui rejoindraient le "mouvement des sans culottes" car célébrer la saint valentin de cette façon représente pour eux une déviance aux enseignements de l'islam.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

haidhuru, kwa dhati na taadhima nakutakia sikukuu yenye furaha ya mtakatifu valentino, ikiwa uko peke yako, una mpenzi, umechumbiwa au umefunga ndoa.

法语

alors, quoi qu'il en soit, je vous souhaite sincèrement et du fond du coeur une très heureuse saint valentin, que vous soyez célibataire, sortiez avec quelqu'un, que vous soyez fiancé(e) ou marié(e).

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

wiki mbili zilizopita, wanafunzi kadhaa wa kike nchini malysia walitangaza “mwamko wa harakati za wasiovaa nguo za ndani” wakati wa siku ya valentino.

法语

deux semaines avant la saint-valentin, des étudiantes en malaisie ont lancé l'idée d'une "journée sans culotte" pour célébrer cette fête.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

dhahiri ni upumbavu mkubwa kutembea bila nguo za ndani ili kuonyesha mapenzi yako kwa mtu fulani…….. na yule aliyefikiria uchafu huu inawezekana kabisa akawa ni amfibia mwenye ukame anayejificha nyuma ya manyasi karibu na ngazi za umeme akiwa na kioo au simu yenye kamera… lakini kwa polisi wetu wa maadili kurukia na kutoa onyo kuhusu ubaya wa siku ya valentino!!!???

法语

ok…..bon, d'accord, c'est assez idiot de ne pas porter de culotte juste pour prouver son amour à quelqu'un...et qui que ce soit qui a inventé cette idiotie est probablement un amphibien en mal de sexe qui se cache derrière les buissons autour d'un escalator armé d'un miroir ou d'un appareil-photo…… . mais que la police morale de notre pays grimpent aux rideaux à propos des aspects démoniaques de la saint-valentin !!!???

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,763,933,471 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認