您搜索了: hawajawahi (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

hawajawahi

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

watu wanaochanganya mambo haya bila hakika hawajawahi kuwa katika mapenzi, au kupendwa.

英语

people who confuse this are definitely someone who never been in love, or be loved.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wasichan 3 kati ya 10 hawajawahi kupata elimu ya aina yoyote katika taasisi zinazohusika na elimu.

英语

3 out of 10 of these girls have never been enrolled in any type of educational institution.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

waasi hao wamewahi kuitumia mbuga hiyo huko nyuma lakini walikuwa hawajawahi kuitumia kama makao yao makuu.

英语

the rebels have used the park as a base but had never seized its headquarters before.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

watu wnegi wana haraka ya kumhukumu oscar utafikiri wao hawajawahi kukosea. haya basi amehukumiwa chekeleeni na mwache kulalamika

英语

so many people to quick to judge oscar as if they're perfect, he got prison time so be happy and stop complaining. #oscartrial — nqobile (@iam_nqobs) october 21, 2014

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wakati wahanga wengi sana wa ghasia hizi za kutisha na mateso hawajawahi kuomba maisha yao wala yale ya familia zao yaharibiwe.

英语

while to many victims of this horrific violence and suffering never asked for their lives and those of their families to be so disrupted.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kanisa la kisabia la orthodox taasisi zingine zote za kidini yana msamaha wa kutolipa kodi nchini serbia na mamlaka ya serikali ya kodi hawajawahi kukagua fedha ya jamii yoyote iliyosajiliwa kidini nchini humo.

英语

the serbian orthodox church and all other religious institutions are exempt from taxes in serbia and state tax authorities have never inspected the finances of any registered religious community in the country.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

bila ya mashaka, jamii ya watu wa amerika ya puerto rico na walatini halisi walio na msisimko katika mji huo mkuu, ambao ni new york, hawajawahi kuacha kusherehekea siku hii kwa mshawasha mkubwa, na hususani kwa watoto.

英语

without a doubt, the puerto rican and latin american communities that are alive and vibrant in the metropolis that is new york have not stopped celebrating this day with much excitement, especially the children.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hakukuwa na elimu yoyote ya uraia ya kufafanua suala la muswada wa katiba pamoja na dhima ya sheria zilizopendekezwa na hii inamaanisha kuwa watu wengi hawana uhakika na yaliyomo (katika mswada wa katiba), wengi zaidi hawajawahi hata kuusikia mchakato wenyewe” yeye [hassan sheikh, kiongozi wa chama cha amani na maendeleo, ppd) alilieleza shirika la habari ya somalia.

英语

there wasn’t any civic education to put across the letter and spirit of the proposed laws and this means that most people are not comfortable with the contents, many more have not heard about the whole process,” he told somalia report.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,762,630,326 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認