您搜索了: janeiro (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

janeiro

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

rio de janeiro

英语

rio de janeiro

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

maandamano huko rio de janeiro.

英语

demonstration in rio de janeiro.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

waandamanaji walijaza eneo kuzunguka ikulu ya rio de janeiro.

英语

protesters occupy the area around rio de janeiro's state house.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

revista ocas limesambazwa katika barabara za são paulo na rio de janeiro tangu mwaka 2002.

英语

revista ocas has been handed out on the streets of são paulo and rio de janeiro since 2002.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

huko rio de janeiro, ugomvi kati ya polisi na waandamanaji ulitolewa taarifa na wanahabari ambao ni raia.

英语

in rio de janeiro, conflicts between police and protesters were also registered by citizen reporters.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wiki iliyopita, picha za vita kati ya wasafirishaji na wafanyabiashara ya madawa ya kulevya mjini rio de janeiro zilitapakaa duniani.

英语

last week, images of a war between drug traffickers and dealers in rio de janeiro spread across the world.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

video nyingine ambayo iliwashangaza watu ilikuwa ni ile ya mwanablogu ricardo gama wa basi la vw linalomilikiwa na ukumbi wa jiji lilipotumiwa kwa ajili ya kampeni mjini rio de janeiro.

英语

another video that raised eyebrows was one by blogger ricardo gama of a vw bus owned by the city hall being used for a campaign in rio de janeiro.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kijana mdogo aliuawa kwa kugongwa na gari huko ribeirao preto na dazeni ya watu kujeruhiwa wakati waandamanaji walipokabiliana na polisi hukobrasilia, rio de janeiro na salvador pale zaidi ya watu milioni moja walipojitokeza katika mitaa mbalimbali ya miji mikubwa na midogo nchini kote brazil katika maandamano makubwa ambayo hayakuwahi kushuhudiwa kwa miongo miwili.

英语

a young man was killed after he was hit by a car in ribeirao preto and dozens were hurt in confrontations with the police in brasilia, rio de janeiro, and salvador as more than a million people took to the streets of large and small cities throughout brazil in the biggest protests seen in the country in two decades.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika wiki hii ya pili ya maandamano ya kitaifa, ambayo yalikuja kufuatia kuongezwa kwa nauli za usafiri wa umma, maandamano yalifanyika kwenye zaidi ya maeneo 100 pamoja na kupunguzwa kwa nauli katika miji mingi ikiwa ni pamoja na miji mikuu kama vile rio de janeiro na sao paulo, kuonesha kuwa “halikuwa tu suala la senti 20”.

英语

in this second week of national protests, which began over a rise in bus fare prices, the demonstrations happened in more than 100 places despite the reduction of bus fare in many cities, including major capitals such as rio de janeiro and sao paulo, showing that “it was not just about 20 cents”.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,747,326,128 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認