来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
kuchukua hatua
to take action
最后更新: 2022-06-18
使用频率: 1
质量:
参考:
mwito wa matiti
suck me
最后更新: 2023-08-31
使用频率: 1
质量:
参考:
je, itasababisha taasisi za kisheria kuchukua hatua?
will it provoke law enforcement agencies into action?
最后更新: 2023-08-17
使用频率: 1
质量:
参考:
wewe uliongoza viongozi wetu kuchukua hatua ambayo ilisababisha matokeo yanayoonekana.
you led our leaders to take action that resulted in tangible results.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
je, unaweza kumgusa huyo mtu mwingine bila kuchukua hatua ya kumfikia mtu huyo?
could you touch the other person's hand without taking a step towards that person?
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
参考:
murad alhayki anatoa mwito wa suluhisho la kisiasa.
murad alhayki pleas for a political solution.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
watu wote wanapaswa kuchukua hatua ili kujilinda kutokana na covid-19 na kuwalinda wengine.
all persons should take steps to protect themselves from covid-19 and to protect others.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
参考:
gay ugandan anakuasa kuchukua hatua hizi pamoja naye na kukuuliza ikiwa anastahili kufa kwa sababu hii:
gay ugandan is urging you to take this cause with him and asks you if he deserves to die because of this:
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
3) ofisi ya huduma za dharura imeagizwa kuchukua hatua mwafaka kuhakikisha utiifu wa amri hii.
3) the office of emergency services is directed to take necessary steps to ensure compliance with this order.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
参考:
miji ya ki-afrika haina habari na umuhimu wa kuchukua tahadhari.
african cities are hopeless in that regard.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
video hiyo inawaonyesha wananchi hao wakitoa mwito wa haki, amani na majadiliano.
the video shows citizens calling for justice, peace and dialogue.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
abdoulaye bah, mchangiaji wa global voices na mwanablogu wa konakry express ameanzisha ombi la mtandaoni kumwomba papa francis kuchukua hatua dhidi ya madikteta wa afrika.
abdoulaye bah, global voices contributor and author of the konakry express blog has launched a petition to ask pope francis to take action against african dictators.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
pia walitoa wito kwa serikali yao kuchukua hatua kuhakikisha kuwa wanafunzi hao wa sekondari waliotekwa nyara na magaidi wa boko haram wanapatikana:
the also called on their government to expedient action in getting back the abducted high school students from the boko haram terrorists:
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
baada ya majadiliano ya kisiasa nchini ethiopia, viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa vya somalia walikubaliana kuchukua hatua za kisiasa ili kumaliza kipindi cha mpito na kumchagua raisi mpya.
after political discussions in ethiopian, leaders of various somali parties agreed to political steps to end the transitional period and elect a new president.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
tutajaribu kuwashawishi kwamba ni muhimu kuchukua hatua ya haraka na kuchukulia matatizo yetu kwa umakini zaidi, na tutakemea kila kitu kitachoweka vikwazo kwa hili.
we are going to try to convince you that it is necessary to act fast and take our problems seriously, and we are going to denounce everything that imposes obstacles for this.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
jarida ‘baya’ la daily star limewafanya wanablogu wa kilebanoni kuchukua hatua, kwa kampeni ya mtadaoni iliyozinduliwa na mbunifu wa blogu ya beirut spring, mustapha.
the "ugly" daily star has prompted lebanese bloggers to act, with an online campaign launched by creator of the beirut spring blog, mustapha.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
警告:包含不可见的HTML格式
joshua wong, ambaye ni mwanaharakati kijana, alifanya tafakari kuhusu maandamano na kuonyesha wazi huzuni yake hasa kwa kukosa utayari kwa watu katika kuchukua hatua:
joshua wong, a young activist, reflected upon the demonstration and expressed his disappointment with people’s unwillingness to take action:
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
hatimaye, siku ya alhamisi, septemba 24, wapangaji kadhaa waliamua kuchukua hatua kwa kuyaondoa matofali na kisha kumtoa mbwa huyo na ambaye aligundulika kuwa alikuwa na mimba.
finally, on thursday, september 24, several tenants decided to take matters into their own hands, pulling up the bricks and digging out the trapped animal, which turned out to be pregnant.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
@deena_adel: je, tunaweza kutumia hali hii ya kuongezeka kwa hasira baada ya udhalilishaji huu ili kuchukua hatua za kupambana nao?
@deena_adel: can we please please make use of this renewed surge of anger over sexual harassment & take concrete steps to fight it? #endsh
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
警告:包含不可见的HTML格式
kwa hiyo ni lazima wawajibishwe, na nyie, wanaharakati, ndio mnaopaswa kuchukua hatua, za kuitaka serikali yenu kuitaka china kumaliza viwanda hivyo ili tembo wapate haki yao ya kuishi.
they must be called out on it, and you, the activist, is the one to do it, the one to ask your government to demand that china stop so that elephants have their right to life.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考: