您搜索了: kiwanda cha sarufi (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

kiwanda cha sarufi

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

kiwanda cha vifungashio

英语

最后更新: 2020-12-23
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

china yadhibiti habari za maandamano yakupinga kujenga kiwanda cha kemikali

英语

china censors chemical plant protest · global voices

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

wafanyakazi wa kiwanda cha nguo wamekuwa wakinung’unika dhidi ya ujira mdogo wanaopewa.

英语

garment factory workers have also been agitating against poor-pay.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ujenzi wa kiwanda cha kuchakata mafuta mkoani mtwara ungesaidia katika kukuza maendeleo ya kiviwanda mkoani humo.

英语

the latter would have fed into an industrialisation strategy that would boost local development.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ujasiri wa mashujaa hao ulionekana pale walipokikabili kiwanda cha mabaki ya viumbe wa kale, ambacho kinaathiri makazi yao.

英语

the courage of the warriors was on full display as they faced off with the fossil fuel industry, which is threatening their homes.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kama kuna jambo ambalo sisi wajamaika tunaweza kutarajiwa, ni kufurahia ukweli kwamba tunacho kiwanda cha kutengeneza wakimbiaji kasi duniani.

英语

if it's one thing that we jamaicans can be counted on, it's to enjoy the fact that we have the world's greatest sprint factory.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mnamo mwaka 2009, watu wa dominika walisimama kidete kukipiga vita kiwanda cha sementi ambacho kilikuwa kianzishwe katika hifadhi ya taifa ya los haitises.

英语

in 2009, the dominican people stood up to fight against a cement factory that would be installed in the los haitises national park.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mapema mwaka huu, maandamano kama haya yalifanyika huko kunming ya kusini nchini china ambapo wakazi wa huko waliandamana kupinga kujengwa kwa kiwanda cha kusafishia mafuta.

英语

earlier this year, similar protest took place in china’s southern kunming where residents protested against a gas refinery.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

chanzo cha maandamano hayo kilikuwa ni maamuzi yaliyofikiwa na serikali ya kujenga bomba la gesi kutoka mtwara kwenda dar es salaam badala ya kujenga kiwanda cha kuchakata gesi mkoani mtwara.

英语

the catalyst for the protests was the announcement of a decision by the government to construct a gas pipeline from mtwara to dar es salaam instead of a gas processing plant in mtwara.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

serikali ya syria imefanya shambulizi kubwa la angani dhidi ya raia wa nchi hiyo -waliokuwa wamesimama kwenye foleni waisubiri mikate kwenye kiwanda cha kuokea mikate huko halfaya, hama.

英语

the syrian government conducted a deadly airstrike against syrians - standing in line waiting for bread in a bakery in halfaya, in hama.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

"twiti tena kama unadhani pnoy alipaswa kuhudhuria mapokezi ya heshima badala ya tukio la kiwanda cha magari. #nasaanangpangulo" alitwiti @bobongwords.

英语

"retweet if you think pnoy should've attended the arrival of honors instead of that car plant event. #nasaanangpangulo" tweets @bobongwords.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

na blogu ya independence '05 , kutoka lebanoni, inachapisha picha zaidi za “kiwanda cha bendera” ambacho kinashamiri kutokana na kombe la dunia:

英语

and independence '05 blog , from lebanon, publishes more photos of the "flag industry" that flourishes due to world cup:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

akinukuliwa na eil d’afrique, sata aliuambia mkutano huo kuwa afrika haikuwa na kiwanda cha silaha zinazochochea migogoro na kwamba ulaya inahusika moja kwa moja na migogoro inayotokea barani humu kwa sababu silaha zinazotumika kwenye migogoro zimezalishwa kwenye viwanda vilivyoko kwenye nchi za magharibi.

英语

quoted by eil d’afrique, sata told the gathering that africa had no gun factory that fuels conflict and that europe was responsible for conflicts on the continent because weapons used in conflicts are manufactured in western countries.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali, shirika la taifa la mafuta la nchi hiyo lina mpango wa kujenga kiwanda cha tindikali katika mji jirani wa anning kuzalisha tani 500,000 za sumu ya paraxylene (px) inayotumika kutengenezea nyuzi.

英语

according to state media, the china national petroleum corporation plans to build a chemical plant in the nearby town of anning to produce 500,000 tonnes of paraxylene (px) used to make fabric.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

nchini cambodia, zaidi ya wafanyakazi 6,000 wa kiwanda cha nguo waliungwa mkono na wanafunzi, mashirika yasiyo ya kiserikali, na wakazi masikini wa mijini katika jiji la phnom penh ambao wote kwa pamoja waliandamana kutokea viwanja vya freedom park kuelekea kwenye bunge la nchi hiyo kutoa wito wa kuboreshewa maslahi yao pamoja na mazingira bora zaidi ya kazi.

英语

in cambodia, more than 6,000 garment workers were joined by students, ngos, and urban poor residents in phnom penh city who marched from the freedom park to the national assembly calling for living wages and improved working conditions.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwa mfano, huko dailan, serikali ya jiji ilisitisha shughuli katika kiwanda cha px mara baada ya maelfu ya watu kuandamana mwaka 2011 katika kampeni ya "not-in-my-back-yard", lakini kiwanda hicho baada ya miezi kadhaa kupita, kiliendelea na shughuli zake kama kawaida .

英语

for example, in dalian, the city government suspended the px factory after thousands took to the streets in 2011 in the "not-in-my-back-yard" campaign, but the factory was restored back to normal operations after a few months .

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,734,101,483 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認