您搜索了: kuhakikisha (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

kuhakikisha

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

tufanye kila linalowezekana ili kuhakikisha tunafanikisha kuwa na maandamano.

英语

we should try our best for any protest action.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ni lazima tufanye kile kinachowezekana ili kuhakikisha tembo hawafi bure...

英语

we must do all we can to make sure they didn’t die for nothing…

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hatua hiyo ilichukuliwa kuhakikisha wamejitenga na kuwalinda wale ambao wanaweza kutangamana na raia walioambukizwa.

英语

the measure was taken to enforce quarantine and protect those who may come into contact with infected citizens.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

matukio haya kusisitiza haja ya haraka ya kuweka watoto nje ya njia ya madhara ili kuhakikisha usalama wao.

英语

these incidents underscore the urgent need to keep children out of harm’s way in order to ensure their safety.

最后更新: 2024-04-11
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

3) ofisi ya huduma za dharura imeagizwa kuchukua hatua mwafaka kuhakikisha utiifu wa amri hii.

英语

3) the office of emergency services is directed to take necessary steps to ensure compliance with this order.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

chini ya sheria ya kongo, polisi wanawajibu wa kutoa ulinzi na kuhakikisha umma unafanya maandamano kwa utulivu.

英语

under congolese law, the congolese national police are responsible for providing security and ensuring public order during demonstrations.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

nahitaji kushinda vita hivi ili kuhakikisha kwamba najiweka katika nafasi nzuri na unapaswa kujua kwamba mwenye kisu kikali ndio akaekula nyama nyingi

英语

最后更新: 2023-12-07
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hii inahitaji kuratibiwa kwa makini kitaifa katika mitandao mbalimbali na inaweza kuhitaji phe kuhakikisha kwamba watu hawajapokea mawasiliano kutoka kwa mashirika mengi.

英语

this needs to be carefully coordinated nationally across the network and may require phe to ensure individuals are not contacted by multiple agencies.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

idara ya afya ya umma ya california inataka kuweka uthabiti katika jimbo lote ili kuhakikisha kwamba tunapunguza madhara ya covid-19.

英语

the california department of public health looks to establish consistency across the state in order to ensure that we mitigate the impact of covid-19.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

harakati hizi zilianzishwa mnamo mei 2011 na vikundi mbalimbali vilivyo nje ya uzbek vyenye msimamo wa kuipinga serikali kwa lengo la kuhakikisha kuwa utawala wa rais islam karimov unaangushwa.

英语

the movement was formed in may 2011 from a number of foreign-based uzbek opposition movements and rights organizations and stated its goal as being the downfall of president islam karimov's regime.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

@commsbh: sheria na kanuni zinakusudiwa kuhakikisha usalama wa takwimu za kimtandao na kuimarisha usalama wa simu za kimataifa na mitandao ya simu.

英语

@commsbh: legislations and regulations aim to ensure the protection of data and boost the security of international calls and telecom networks.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

bila kujali uhuru umefichwa au la, ninachohitaji ni kuona siku moja kuwa mfumuko wa bei za bidhaa na kukosekana kwa ajira vinapungua ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kuwa watu wa hali ya chini hawajihusishi na uuzaji wa madawa ya kulevya..

英语

i don't want freedom to wear the veil or not, i want the day to come when inflation and unemployment rates are lowered and marginalized people do not need to sell drugs.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

nilishtushwa hivi karibuni nilipowasikia baadhi ya watanzania wa kawaida katika jiji la dar es salaam wakijadili kuhusu uchaguzi wa jumapili ijayo na wakishauriana kwamba itakuwa vema kuhakikisha watu wanajiwekea akiba ya kutosha ya chakula majumbani, maana walikuwa wakitarajia matukio mabaya.

英语

i was shocked beyond words recently when i overheard ordinary tanzanians in a dar-es-salaam surburb discussing sunday’s polls and saying that it would be a good idea to stock up in food and stay indoors, expecting the worst.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

"mamlaka za saudi arabia mara kwa mara zimekiuka viwango vya kimataifa vinavyoongoza mashitaka ya haki na kuhakikisha usalama wa watuhumiwa, ambao mara nyingi wananyimwa haki ya kuwakilishwa na wanasheria wala haki ya kujulishwa mwenendo wa mashitaka yanayowakabili.

英语

"authorities in saudi arabia routinely flout international standards for fair trial and safeguards for defendants, who are often denied representation by lawyers and not informed of the progress of legal proceedings against them.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

na hiki ni kitabu tulicho kiteremsha, kilicho barikiwa, chenye kuhakikisha yaliyo tangulia, na ili uuwonye mama wa miji na walio pembezoni mwake. na wenye kuamini akhera wanakiamini hichi, nao wanazihifadhi sala zao.

英语

and this is a book we have revealed, blessed, verifying that which is before it, and that you may warn the metropolis and those around her; and those who believe in the hereafter believe in it, and they attend to their prayers constantly.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

chanzo cha kuaminika kimeifahamisha global voices kwamba mwendesha mashtaka huko tehran analenga kuhakikisha kwamba mwanablogu aliyefungwa hossein derakhshan (anayefahamika pia kama "hoder") anapewa adhabu ya kifo.

英语

a reliable source has told global voices that tehran's prosecutor is seeking the death penalty for jailed iranian blogger hossein derakhshan (also known as "hoder").

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

"tunajaribu kwa kadiri tuwezavyo kuhakikisha wanafunzi wanapata masomo papo kwa hapo, lakini kutokana na changamoto zilizopo ... tunajaribu kurekodi masomo na kisha kuyapakia mtandaoni," el-zahawi anasema.

英语

"we try and make live as much as we can, but due to the problems ... we try to record the lessons and post them online," el-zahawi says.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,763,052,942 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認