您搜索了: kusikitishwa (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

kusikitishwa

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

wai lin oo alionesha kusikitishwa kwake na majibu ya ubalozi:

英语

wai lin oo expressed his frustration with the embassy's response:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mchanganyiko wa picha za kiev .kwa upande mwingine, waukraine wanaonekana kusikitishwa sana na hotuba ya rais putin.

英语

collage from kievtypical .on the other hand, ukrainians are demonstrably upset with president putin's speech.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika miaka ya hivi karibuni, mashirika ya haki za binadamu yameonyesha kusikitishwa na rekodi inayoendelea kushuka ya haki za binadamu nchini humo.

英语

in recent years, human rights organizations have raised concerns over the country's deteriorating human rights record.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

siku iliyofuata, watumishi 28 wa chumba cha habari walitoa tamko la pamoja wakionesha kusikitishwa na uamuzi huo wa utawala wa chombo hicho cha habari.

英语

the next day, 28 staff members from the newsroom issued a joint statement expressing regret over the management's decision.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

watu wengi wamekasirishwa na namna baadhi ya watu wanavyoguswa na uharibifu wa historia na kuhamisha vito vya thamani badala ya kusikitishwa na kupotea kwa maisha ya sasa kunakotokana na mateso yanayoendelea nchini syria.

英语

many are however angry how people are moved by the destruction of history than loss of life modern day syrians suffer from.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mwakilishi wa shirika la usalama na ushirikiano wa ulaya dunja mijatovic alionyesha kusikitishwa mno na tabia ya polisi hao kwa waandishi waliokuw wakitafuta habari za maandamano hayo jijini skopje:

英语

organization for security and co-operation in europe representative dunja mijatovic expressed deep concern over the behavior of police with the journalists covering the demonstrations in skopje:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

habari hii inazua utata hivi sasa baina ya wanasiasa, vyombo vya habari, na wanablogu ambao wanaandika kusikitishwa kwao na kiongozi huyo, na ukweli kwamba kuna matatizo mengine makubwa yanayopaswa kuangaliwa ikilinganishwa na vitendo vinavyofanywa na wanasiasa.

英语

now this news is causing quite a stir amongst politicians, the media, and bloggers who write about the disappointment in their current leader, but also how there are much more serious problems to worry about and the comparison to other acts committed by politicians.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

amárilis pagán (@amarilispagan), mwanasheria wa kutetea haki za mashoga (lgbt), alionyesha kusikitishwa kwake na mchakato huo:

英语

amárilis pagán (@amarilispagan), feminist lawyer and lgbt advocate, expressed her frustration with the process:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

"baada ya kushuhudia kibinafsi ukosefu wa haki kwa watu wa palestina katika maeneo yaliyonyakuliwa na israeli, ni kwa huzuni kubwa na kusikitishwa kwamba sisi - waandishi wa kimataifa na wasanii tuliotia saini hapa chini - twakumbuka idhini ya benjamin netanyahu ya wiki hii ya vitengo vingine vipya vya makazi haramu 1500 katika ukanda wa magharibi.

英语

"having personally witnessed the injustice visited upon the palestinian people in the territories occupied by israel, it is with the utmost sadness and dismay that we - the undersigned international authors and artists - note benjamin netanyahu's approval this week of yet another 1,500 new illegal settlements units in the west bank.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,763,910,086 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認