您搜索了: kwingineko (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

kwingineko

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

zitoe mapema kadri inavyowezekana, mapema kabla hazijaonekana kwingineko.

英语

you must give it them as soon as possible, faster than anyone.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwingineko, watu walikuwa juu ya miti na paa za nyumba wakisubiri msaada.

英语

elsewhere, people were on treetops and roofs waiting for help.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

habari sahihi kwa wakati muafaka kuhusu ratiba za ndege na utaratibu wa kuelekeza ndege kutua kwingineko

英语

most accurate and timely information regarding flight schedules and diversions from @airportpakistan — zahra hidayatullah (@zhidayatullah) june 8, 2014

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kulikuwa na maombi kupitia facebook ya kuchangia damu, na wengi walijitokeza kuchangia damu huko savar na kwingineko.

英语

there were appeals via facebook to donate blood, and many rushed to donate blood in savar and elsewhere.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wakijitahidi sana wanapata walau rabo elfu moja yaani wote pamoja, wakifanya kazi za kusafisha suhula za umma na mahali kwingineko.

英语

at best, they make a thousand between the four of them, working as cleaning ladies at public facilities and anywhere else.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa upande wa umaarufu wa mitandao ya kijamii, kama ilivyo kwingineko, facebook ndiyo zana maarufu zaidi nchini cameroon.

英语

in terms of the popularity of social media, as elsewhere, facebook is the single most popular social media tool in cameroon.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa sasa nawaacha na jina moja: abdulhadi, ambaye hajazaliwa bado, na ambaye atakuwa huru, iwe gerezani au kwingineko.

英语

for now i leave you with one name: the unborn abdulhadi, who will be born free, whether in prison or out.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kama matokeo ya wasifu wa pisarev kwenye blogu yake na mitandao ya kijamii, mashirika kadhaa huru ya habari yalichapisha habari za kesi ya brankovikj na watu sasa wameanza kutoa maoni si tu kuhusu suala hili pekee bali na masuala mengine ya kimahakama ya masedonia na mfumo wa kiserikali kwa ujumla kwenye mitandao ya kijamii na kwingineko.

英语

as a result of pisarev's profile on his blog and social media, several independent media outlets have published stories about brankovikj's case and people have now taken up commenting not only this particular matter but about macedonian courts and government systems in general on social media and elsewhere.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

na kwingineko uarabuni, uteuzi wa marzouki, uliofuatiwa na hotuba yake yenye mvuto ya kuukubali, ulipokelewa na raia mtandaoni kwa kuwasifu watunisia kwa hatua nzuri waliyopiga kuelekea demokrasia, na kuombea iwe hivyo hata kwa nchi zao.

英语

elsewhere in the arab world, marzouki's appointment, which was followed by a moving acceptance speech, was noted by netizens, who cheered on tunisia's progress towards democracy, wishing the same for their countries.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kutoka kwa raia wa costa rica wanaoishi nchini australia, ambao ndio waliokuwa wa kwanza kupiga kura, wakifuatiwa na wale wanaoishi japan, ufaransa, marekani na kwingineko, raia wanaota taarifa huku wakionesha hisia zilizojaa hamaki.

英语

from costa ricans living in australia, the first ones to cast their vote, to the ones based in japan, france, the united states and elsewhere, citizens are reporting about their vote with expressions full of excitement.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

"umoja wa ulaya katika mgogoro (eu in crisis)" ni chapisho letu la kwanza katika mradi wa vitabu wa global voices na ambao unahusisha makala bora zaidi kuhusu mazungumzo ya kijamii, ushiriki na uhamasishaji unaopewa nguvu na raia wanaopitia nyakati ngumu za kubana matumizi katika bara la kale zaidi na kwingineko.

英语

"eu in crisis" is the first production of our new global voices books project and includes the best material from social conversation, participation and mobilization boosted by citizens going through the tough times of austerity in the old continent and beyond.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,740,666,403 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認