您搜索了: linaweza (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

linaweza

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

kabati bovu na linaweza kuanguka na kumuumiza mtu

英语

a bad closet can fall and hurt someone.

最后更新: 2023-05-11
使用频率: 2
质量:

斯瓦希里语

jambo kama hilo linaweza kutokea kwa tel quel pia.

英语

and the same could happen to tel quel.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tamko rasmi la shitaka hilo linaweza kuonekana hapa.

英语

official documentation of the suit can be seen here.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

jaribio linaweza kufanywa kwa sampuli za kupumua au za damu.

英语

the test can be done on respiratory or blood samples.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tukio hilo linaweza kufananishwa na hadithi ya daudi na goliati.

英语

it truly was david versus goliath.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

shirika la afya duniani yadai kuwa janga hili kubwa linaweza kudhibitiwa.

英语

the who asserts that the pandemic can be controlled.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hilo linaweza kutokea tu kama ande zote zinaheshimu kwa haki za binadamu na utawala wa sheria.

英语

this can only happen if both sides fully respect human rights and the rule of law.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

"swali linaweza kuwa 'ni kwa muda gani mbinu hii inaeweza kufanya kazi?'

英语

"the question may be ‘how long will this methodology be effective?’

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

hili linaweza kusumbua sana hasa kwa sababu nusu ya idadi ya watu liberia ni wenye umri chini ya miaka 20.

英语

this can be especially troubling because half of liberia’s population is under 20.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ujasiri wa shambulizi hizi umefanya baadhi ya watu kudhani linaweza kutengeneza sura mpya kwa wa-islamu wa kisomali.

英语

the audacity of this attack has left some to suggest it may portend a new phase for the somali islamists.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kusanyiko la watu wako linaweza kujulishwa mazuri yote ambayo baadhi ya wakristo wa uganda wanawatakia wenye dhambi waitwao mashoga wa kiganda.

英语

your congregation can be made aware of all the good things that some christians in uganda wish some sinners called gay ugandans.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

doa la damu kwenye machela ya gari la wagonjwa linasogeea karibu ya koti langu, na mganga ananionya kwamba koti langu linaweza kuchafuka.

英语

the stain of blood on the ambulance stretcher pools next to my coat, the medic warning me my coat may be dirtied.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

shirika la concern worldwide linaweza linaweza kuhakikisha kuwa 100% ya fedha za twestival zitakwenda moja kwa moja kwenye gharama za mradi.

英语

concern worldwide is able to guarantee that 100% of twestival funds will go direct to project costs.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

inaonekana kama suala la #unibrennt linaweza kuwa hatua ya awali ya mabadiliko ya siasa za austria kwa matumizi ya nyenzo za kijamii za mtandaoni.

英语

it looks like the case of #unibrennt may become an early milestone in the transformation of austrian politics by the use of online social media.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

jambo hili, ambalo ni limewashangaza watumiaji wa kipolish, linaweza kutatuliwa baada ya wasomaji kuamua na kuonyesha uamuzi wao kwa kutobonyeza chochote kati ya vifungo au machaguo hayo matatu.

英语

the whole thing, which is one big surprise for polish users, is almost solved after readers make up their minds and make their decision known by clicking on either of the three buttons.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika mtandao wa twita, sajjad fazel (@sajjadf) alihoja kuwa, tukio hilo linaweza kuwa limeshusha hadhi ya chadema:

英语

on twitter, sajjad fazel (@sajjadf) argued that the incident may have undermined chadema's credibility:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

nchini marekani, inaonekana kuwa jambo kama hilo linaweza kusababisha taasisi za huduma za jamii kuitwa ili kutathmini hali, au watoto hapa huweza kuhisi namna fulani ya kuwachukia wazazi wao kutokana na adhabu kama hizo.

英语

in america, it seems that such a thing can result in social services being called in to review the situation or children here feel some sort of resentment towards their parents for it.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

pamoja na kuwa rais goodluck jonathan hakutaka nchi jirani kuisadia nchi yake kupambana na boko haram, ushirika wao katika wiki chache unaweza kuisaidia naijeria kusitisha harakati za magaidi hawa za kutaka kuitawala nchi hii, jambo ambalo linaweza kuchukuliwa kuwa ni moja ya manufaa itakayopata chama tawala kutokana na kuahirishwa jwa uchaguzi.

英语

another possible advantage is that despite long resistance from jonathan, neighbouring countries are increasingly present in the combat of boko haram and some extra weeks may halt the loss of territory to the insurgents.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hivyo iko hatari kwamba biashara yetu itakuwa na jina baya. si hivyo tu, bali pia jambo hilo linaweza kuifanya nyumba ya mungu artemi kuwa si kitu cha maana. hatimaye sifa zake huyo ambaye asia na dunia yote inamwabudu, zitakwisha."

英语

so that not only this our craft is in danger to be set at nought; but also that the temple of the great goddess diana should be despised, and her magnificence should be destroyed, whom all asia and the world worshippeth.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,763,291,205 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認