您搜索了: minajili (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

minajili

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

sisi kupandishwa cheo kama jemadari mkuu ni kwa minajili ya kuongezewa mshahara.

英语

sisi promoted as marshal is a salary necessity.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa minajili hii, walipokonywa uhuru wao.they chose to stand up against injustice.

英语

for this, they were robbed of their freedom.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hoja ilikuwa kwamba hija haijawahi kufutwa kwa minajili tu ya kiafya na kwamba kufanya hivyo kungekuwa kuukiuka uislamu.

英语

the argument was that haj had never been canceled on public health grounds and that to do so would be counter to islam.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

utafiti msingi hufanywa kwa minajili ya kuongeza au kuja na maarifa mapya ikiwa ni pamoja na kukuza na kuboresha kile kinachofahamika tayari.

英语

the former increases or creates knowledge as well as develops and modificies what already exists.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hatuwezi kugeuza shavu la pili na kujifanya kwamba si wanasayansi wala wahandisi huendeleza teknolojia ambazo baadaye hutumika kwa minajili ya kupeleleza mabilioni ya wananchi au kuua raia kwa vifaa vya udhibiti.

英语

we cannot turn the other cheek pretending that it is not scientists and engineers who develop technologies that are later used to spy on billions of citizens or kill civilians by remote control.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ingawa waandishi wanaokuwa uwanja wa mapambano huhatarisha maisha yao kwa minajili ya kuandika habari, bado habari zao wakati mwingine haziandikwi kwa sababu ya kufuatiliwa kunakofanywa ndani ya vyombo vya habari.

英语

even if reporters at the front-line risk physical injuries to cover the news, their stories might not be published because of self-censorship practices in the newsroom.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

athari moja wapo inayowezekana ya kubadilishwa huku kwa hali ya hewa ni kwamba inabadili uelekeo wa unyevu unyevu kutoka kwenye maeneo mengine ambayo yanauhitaji vile vile, kwa minajili ya kutengeneza mvua kubwa katika eneno linalokusudiwa.

英语

one possible side effect of weather modification is that it diverts precipitation from other regions that need it too, for the sake of creating stronger storms in a focused area.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

@africanelection ni mradi unaokuza uwezo wa waandishi wa habari, waandishi wa kiraia kutumia vyombo vipya vya habari kwa minajili ya kufanya uangalizi na kuripoti uchaguzi barani afrika.

英语

@africanelection is a project that enhances the the ability of journalists, citizen journalists to use new media to monitor and report on elections in africa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

anapendekeza vyanzo mbadala vya mtandaoni kwa minajili ya kuchunguza taarifa, ikiwa ni pamoja na elperiodistacivico.com, wakati huu ambao kuna upotoshwaji wa taarifa na propaganda zinawakwamisha wale wanaojaribu kuelewa hali halisi ya matukio yanayoendelea.

英语

she recommends alternative online news sources that focus on fact-checking, including elperiodistacivico.com, at a moment when disinformation and propaganda is confounding those trying to make sense of events.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

moses ngeth, ambaye ni mwanaharakati na wakili wa masuala ya haki za binadamu, alikiri kosa lake kufuatia tamko lake la hivi karibu kuwa, watumiaji wa facebook nchini kambodia wautumia mtandao huu kwa minajili ya burudani tu:

英语

moses ngeth, an activist and human rights advocate, admitted his mistake about his earlier assertion that cambodian facebook users are only concerned with entertainment issues:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tuzo hizi za uandishi wa habari za kiraia za tukio la kwanza linalotafuta kuwaleta pamoja watu binafsi na mashirika ambayo yako mstari wa mbele linapokuja suala la kutumia vyombo vya habari za kiraia kwa minajili ya burudani, kuleta mabadiliko, kubadilishana mawazo, kutengeneza jumuiya na kuwasiliana na wateja mtandaoni.

英语

the uganda sma’s (social media awards) is uganda’s first event that seeks to bring together individuals and organizations that are at the frontline when it comes to using social media for entertainment, change, sharing of ideas, creating communities and talking to customers online.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

bunge la watu wa zambia (zapp) ni maigizo ya bunge la zambia linaloundwa na makundi mbalimbali ya raia ambao kwa minajili ya kujenga hujadili, huchambua, kubishana, kufuatilia na kukubaliana katika masuala ambayo yanahusu utawala wa kidemokrasia.

英语

the zambian people’s parliament (zapp) is a replication of the zambian parliament comprising a cross-section of citizens who constructively discuss, analyze, debate, persuade and agree on issues which border on democratic governance.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,742,985,971 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認