您搜索了: msimamo wa ligikuu (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

msimamo wa ligikuu

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

msimamo wa sasa wa serikali

英语

the current government's stance

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

frank anderson anaafikiana na msimamo wa ato:

英语

frank anderson supports ato's position:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hata hivyo ninashangazwa sana na msimamo wa serikali ya kenya.

英语

however what i am particularly bewildered with is the stand-point of the kenyan government.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

msimamo wa serikali dhidi ya ushoga bado unasimama, anasema waziri

英语

government’s anti-gay stand stays, says minister

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mwandishi wa tunisia gilbert naccache pia alikosoa msimamo wa wanademokrasia uliotangazwa:

英语

tunisian writer gilbert naccache also criticized the proclaimed democrats' stance:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mwanablogu na mwandishi wa habari ivan davydov alilitazama suala hili kwa msimamo wa ustawi wa jamii :

英语

blogger and journalist ivan davydov took a social welfare angle :

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

imetosha sasa basi imetosha sasa basi sio wito wa kuiangusha serikali, na unaongelea msimamo wa demokrasi na amani.

英语

enough is enough is not a call for the overthrow of the government, and it talks the line of democracy and non-violence.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hapo mwanzo aliwahi kusema kuwa nyaraka zilizoonyesha msimamo wa umoja wa mataifa dhidi ya mpango wa nyuklia wa irani kama makaratasi yasiyo na maana.

英语

previously he has also called united nations resolutions against an iranian nuclear program just useless torn papers.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tangazo likionesha kusisitiza msimamo wa kanisa katoliki katika jiji la tandag ambapo zaidi ya watu wa jamii ya lumad 2,000 walioyakimbia makazi yao walipatiwa hifadhi.

英语

the banner reflects the stand of the catholic church in tandag city where more than 2,000 lumad evacuees have sought shelter.

最后更新: 2024-04-11
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tangu oktoba 12, wahuni wanaounga mkono msimamo wa beijing walipangwa kuzunguka makao makuu ya gazeti linaounga mkono demokrasia na kuwazuia wafanyakazi wa gazeti hilo kutawanya magazeti.

英语

since october 12, pro-beijing mobs were mobilized to surround pro-democracy apple daily's headquarters and stop the media outlet from distributing their papers.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

inasemekana kwamba uongozi mpya wa qatari ni ule wenye msimamo wa kihafidhina unaoamini kwamba uendeshaji wa tovuti hiyo hauna budi kushikilia mitazamo ya kidini yenye msimamo wa kihafidhina na kuondolea mbali vipengele vingine.

英语

the new qatari administration is said to be a very conservative one that believes the website should stick to conservative religious issue and removed other sections

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

bado wapo katika gereza la wanawake la trichy, wakiwa bado wanashikilia msimamo wa dunia wa “kutokomeza moja ya silaha hatari sana duniani iliyogunduliwa na mwanadamu”.

英语

they are still in the women’s prison of trichy, holding on to their vision of a world that is “free from one of the most toxic of human inventions".

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

kama bado wataendelea kuwa na msimamo wa kuwa mme lazima atoe asilimia kadhaa ya mshahara wake kwa mke wake kulingana na kazi za nyumbani anazozifanya, sioni ni kwa namna gani hali ya kiuchumi ya familia itakavyoboreshwa au ni kwa namna gani itamfanya mwanamke ajitegemee na kuwezeshwa.

英语

if they go about doing it the way such that a husband shares a percentage of his income with his wife for her work, i don’t see how it makes the economic situation of the house any better or how it makes the woman independent and empowered.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa mfano, zaidi ya watu maarufu wa kiutamaduni wapatao mia tano hivi karibuni walitia saini barua ya wazi kuunga mkono msimamo wa putin kuhusiana na “ukraine na crimea.”

英语

for instance, more than five hundred cultural figures recently signed a public letter of support for putin’s position on “ukraine and crimea.”

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

si tu kwamba wamejihatarisha kwa ghasia wakati wakiandika habari hizo za mapambano kati ya polisi na waandamanaji, lakini pia waliporudi ofisini wakitokea kwenye uwanja wa habari, wengine wao wamejikuta wakifuatiliwa ndani kwa ndani na waandishi wenzao au hata kujikuta wakibughudhiwa na wahuni wanaounga mkono msimamo wa beijing.

英语

not only have they exposed themselves to violence while covering clashes between police and protesters, when they return to the office from the field, some of them have to endure the push for self-censorship from the newsroom or even harassment from pro-beijing thugs.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

gavana wa california, gavin newsom alieleza msimamo wa jimbo lake, akisema “tunataka vituo vya kutunza watoto, vituo vya kutunza watoto nyakati za mchana kuendelea kufanya kazi ili kusheheni athari ya kufungwa kwa shule hizi.”

英语

california governor gavin newsom explained his state's position, saying “we need our child care facilities, our daycare centers, to operate to absorb the impact of these school closures.”

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika majibu yake ya wazi kwa mara ya kwanza baada ya muswada huu kuletwa, alisema muswada huu "haukuwakilisha sehemu ya msimamo wa serikali" na namna "uganda isivyoweza kuwa tayari kuhatarisha sera yake ya mambo ya nje kwa kuruhusu muswada huu kupia ukiwa katika sura iliyopo".

英语

in his first public reaction after the introduction of the bill, he argued how it did “not represent the party of government position” and how “uganda cannot risk its foreign policy by allowing the bill to pass in its current form”.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,739,883,434 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認