您搜索了: mtafaruku (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

mtafaruku

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

sikujua kwamba mume wangu anaweza kusababisha mtafaruku wa namna hii.

英语

i never knew my husband could cause such a stir.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

uchaguzi na mtafaruku uliofuataia ulizitambulisha facebook na twita kama njia nyingine mpya za raia kujieleza mtandaoni.

英语

the election and the crisis that followed introduced facebook and twitter as two new primary channels of online citizen expression.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa ujumla kulikuwa na mabomu ya kutupa kwa mkono matano ambayo hayakulipuka lakini yalileta mtafaruku kwa wanafunzi hao. .

英语

there were five grenades in total and none detonated, but they provoked panic .

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mwaka 1991 ahmed hasan osman* alikimbia mtafaruku huku somalia, na kuiacha familia yake mjini kismayu, na kufanya safari ya kuelekea kenya ili kutafuta hifadhi.

英语

in 1991 ahmed hassan osman* fled the conflict in somalia, leaving his family in kismayu, and made his way to kenya in search of asylum.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

makamanda wa jeshi wamemuondoa madarakani rais sidi ould cheikh abdallahi, rais wa kwanza kuchaguliwa katika uchaguzi huru katika miongo miwili, katika mapinduzi ya kijeshi yaliyofanywa jumatano iliyopita baada ya mtafaruku wa kisiasa uliotokana na rais huyo kuwatimua kazi majenerali wanne wa ngazi za juu wa jeshi.

英语

army commanders ousted mauritania's first freely elected president in two decades, president sidi ould cheikh abdallahi, in a military coup d'état wednesday after political feuding over the firing of the country's four top generals.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

aina hii mpya ya kujieleza kimuziki inayosikika katika “new generation” imeleta mtafaruku katika mtandao wa wazi wa tibet huku wanablogu wa tibet wakiwasifu yudrug kwa ujasiri wa mashairi yao lakini baadhi yao pia waliwakosoa yudrug kwa kutumia mtindo ambao ni “wa kimagharibi mno”.

英语

this bold new style of musical expression heard in "new generation" has been quite controversial in tibetan cyberspace, with tibetan bloggers praising yudrug for their outspoken lyrics, but some also criticising yudrug for adopting a style that is seen as “too western”.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,740,944,584 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認