您搜索了: mtangulizi (斯瓦希里语 - 英语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

mtangulizi

英语

predecessor

最后更新: 2021-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mtangulizi wake kevin rudd alipenda sana kusikika duniani kote.

英语

his predecessor kevin rudd loved a global audience.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

sata amefanya kile ambacho mtangulizi wake rupia banda asingeweza kamwe kukifanya.

英语

he sata has done what rb and other presidents can never do.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

akijaribu kuachana na utaratibu wa mtangulizi wake wa kuficha taarifa zake zinazohusiana na afya, msaidizi wake wa habari amos chanda alisema kwenye taarifa yake:

英语

departing from his predecessor’s practice of not announcing his health-related matters, lungu’s press aide amos chanda said in a statement:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

tume ya uchaguzi (inec) ilikuwa na tatizo la kuaminika wakati mtangulizi wa jega, maurice iwu, alipokuwa akishikilia kiti hicho.

英语

inec had a credibility crisis during the tenure of maurice iwu, jega’s predecessor.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

akichambua mchango wa jumla wa obama katika maendeleo ya afrika, tolu alimwona obama kama mtu "apuuziaye mambo kwa namna chanya" anapomfananisha na mtangulizi wake bush.

英语

looking at obama's overall contribution to africa's development, tolu considered obama "positively neglectful" when comparing him to the bush administration.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

rais sata na serikali yake ya chama cha pf wameanika vitendo kadhaa vya kifisadi ambavyo viliendelea katika kipindi cha utawala wa mtangulizi wake, rupiah banda kama vile ununuzi wa magari ya bei mbaya aina ya lexus, kufukuliwa kwa mabilioni ya kwacha kutoka kwenye shamba la waziri wa zamani na skandali nyinginezo ambazo bado bado hazijadhibitishwa.

英语

president sata and his pf government have exposed a number of illegal dealings that went on during his predecessor, rupiah banda’s reign such as the purchase of expensive lexus cars, the unearthing of billions of kwacha from a former’s minister’s farm and other scandals most of which are yet to be proved.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

akiwa ni mwanamke wa kwanza kuwa rais nchini humu, aliyerithi uchumi uliokuwa taabani kutoka kwa mtangulizi wake, hayatibingu wa mutharika, amekuwa akisababisha hasira kwa wananchi wake kwa kutekeleza bajeti zinazosabisha ugumu wa maisha pamoja na hatua zake za mabadiliko ya kiuchumi yenye maumivu makali kwa wananchi zinazoonekana kutafuta kuiridhisha jamii za kimataifa, ambazo misaada yake ni takribani kiasi cha asilimia 40 ya bajeti ya malawi.

英语

the country's first female president, who inherited a crumbling economy from her late predecessor bingu wa mutharika, has increasingly drawn ire at home for implementing austerity budgets and other painful economic reforms in part to please the international community, whose aid accounts for about 40 percent of malawi's budget.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,763,320,344 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認