您搜索了: muonekano wa nje na muonekano wa ndani (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

muonekano wa nje na muonekano wa ndani

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

muonekano wa nje wa kuvutia wa kasri la dolmabahçe.

英语

the peaceful exterior of the dolmabahçe palace.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

muonekano wa kitabu

英语

the appearance of the book

最后更新: 2016-06-11
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

huu ni muonekano wa matokeo ya mkusanyiko wa mawazo chanya.

英语

this is an aesthetic outcome of collective positive thoughts.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

na hizi ni baadhi ya picha zinazoonyesha muonekano wa mashine zetu

英语

some of the images don't look good and are blurry

最后更新: 2023-12-16
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

muonekano wa picha za setilaiti unaweza kuthibitisha uharibifu na mahitaji katika maeneo ambayo bado hayana mawasiliano ya uhakika.

英语

the satellite view can determine damage and needs in areas that still do not have reliable communication.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwa hiyo, kwa sasa hatuwezi kwa hakika, kuamua muonekano wa syria ijayo.

英语

so we can’t really decide now the shape of the future syria.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

petro alibisha mlango wa nje na mtumishi mmoja msichana aitwaye roda, akaenda mlangoni kuitikia.

英语

and as peter knocked at the door of the gate, a damsel came to hearken, named rhoda.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

“inaonekana kuwa watendaji wa ndani na wa nje wanaonekana wazi jinsi wanavyopinga maadili ya mchakato wa amani na jinsi wanavyodunda mbali na ukingo wa mkataba wa amani.

英语

"it is seen that all internal and external peace actors are visibly performing against the ethics of peace process and bouncing beyond the edge of comprehensive peace accord.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

katika kufanya hivyo, angeweza kuwaridhisha wananchi wake wa ndani -aliwakosoa mashoga - lakini na watu wa nje, kwa kuacha upenyo wazi.

英语

in doing so, he could both satisfy the domestic constituency – he was criticizing homosexuals - but also the international constituency, by leaving this loophole open.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

réseau citadelle anatangaza kuzinduliwa kwa kituo cha habari, mradi unaotoka kwa wanahabari wasio na mipaka pamoja na quebecor, wenye lengo la kuwezesha kazi za wanahabari wa ndani na wa nje ambao wako nchini haiti, na pia kuunda ubia kati ya asasi zisizo za kiserikali na vyombo vya habari.

英语

réseau citadelle announces the launch of the media operations center, an initiative from reporters without borders and quebecor, aimed at facilitating the field work of local and foreign journalists in haiti as well as establishing collaboration between the media and ngos.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kazi zake maarufu ni zile “zinazoingiliana” ambazo ni vinyago vyenye muonekano wa mistari ya miraba, mirija miembamba inayoning’inia, yenye rangi zinazong’aa zilizotengenezwa na plastiki na ambayo watu huweza kupita katikati yake.

英语

his most famous works are the “penetrables,” which are interactive sculptures consisting of an array of square, thin, dangling tubes of shiny colors made from plastic and in which the public can walk through.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

katika makala yenye kichwa kinachosema “ni aina ipi ya mti tulioumbwa nao? ,” ricardo carbone, mwanablogu, profesa, na mkurugenzi wa kituo cha tathmini ya jamii na harakati katika chuo kikuu cha hurtado, anadai kwamba tetemeko liliweka wazi matatizo makubwa ya kijamii, na kwamba ilivunja ugo unaopendeza wa nje na muonekano wa jamii ya chile.

英语

in an article titled “what type of wood are we made of? ,” ricardo carbone, a blogger, professor, and director of the center for social reflection and action at alberto hurtado university, argues that the quake exposed major social problems, and that it brought down the facades and appearances of chilean society.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,772,944,082 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認