您搜索了: neno la bwana ni taa ya miguu yangu (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

neno la bwana ni taa ya miguu yangu

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

neno la bwana likaenea kila mahali katika sehemu ile.

英语

and the word of the lord was published throughout all the region.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

basi, wakamhubiria neno la bwana yeye pamoja na jamaa yake.

英语

and they spake unto him the word of the lord, and to all that were in his house.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ningependa njia zangu ziwe thabiti nizitii amri zako! 6ndipo ... 105neno lako ni taa ya mguu miguu yangu na mwanga wa njia yangu.

英语

the word of the lord is a lamp to my feet

最后更新: 2021-04-21
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

lakini neno la bwana hudumu milele." neno hilo ni hiyo habari njema iliyohubiriwa kwenu.

英语

but the word of the lord endureth for ever. and this is the word which by the gospel is preached unto you.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

kwa namna hiyo, neno la bwana lilizidi kuenea na kuwa na nguvu zaidi.

英语

so mightily grew the word of god and prevailed.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

basi, saulo alikaa pamoja nao, akatembelea yerusalemu yote akihubiri neno la bwana bila hofu.

英语

and he was with them coming in and going out at jerusalem.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

paulo na barnaba walibaki huko antiokia kwa muda; wakafundisha na kuhubiri neno la bwana, pamoja na watu wengine wengi.

英语

paul also and barnabas continued in antioch, teaching and preaching the word of the lord, with many others also.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

aliendelea kufanya hivyo kwa muda wa miaka miwili hata wakazi wote wa asia, wayahudi na watu wa mataifa mengine, wakaweza kusikia neno la bwana.

英语

and this continued by the space of two years; so that all they which dwelt in asia heard the word of the lord jesus, both jews and greeks.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

"jicho ni taa ya mwili. kama jicho lako ni zima, mwili wako wote utakuwa katika mwanga.

英语

the light of the body is the eye: if therefore thine eye be single, thy whole body shall be full of light.

最后更新: 2013-01-09
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

baada ya siku kadhaa, paulo alimwambia barnaba, "turudi tukawatembelee wale ndugu katika kila mji tulikolihubiri neno la bwana tukajionee jinsi wanavyoendelea."

英语

and some days after paul said unto barnabas, let us go again and visit our brethren in every city where we have preached the word of the lord, and see how they do.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,734,289,548 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認