您搜索了: rajoelina (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

rajoelina

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

hatakuwa kinyume na rajoelina, wala ravalomanana (marais wawili waliopita).

英语

he will not be against rajoelina, nor against ravalomanana (the two last presidents).

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

andry rajoelina (au andry tvg) alikuwa na stesheni ya televisheni inayoitwa viva na bado anayo stesheni ya redioyenye jina hilohilo.

英语

andry rajoelina (or andry tgv) had a tv station named viva and still have a radio station with the same name.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

rajoelina alitangaza kuundwa kwa serikali ya mpito, na yeye mwenyewe akiwa kiongozi wa serikali, bila kujali ukweli kwamba serikali iliyopo sasa bado inashikilia nafasi hiyo.

英语

rajoelina announced the creation of a new transitional government, with himself as its leader, in spite of the fact that the current government is still in place.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baada ya mapinduzi ya kijeshi ya mwezi machi, serikali mpya dhaifu ya andry rajoelina ilitoa amri za haraka zinazoruhusu uvunaji na usafirishaji nje wa magogo kutoka kwenye misitu inayohifadhiwa na maeneo ya hifadhi za historia duniani.

英语

after a coup in march, the new and weakened government of andry rajoelina issued sweeping decrees allowing the harvest and export of wood from protected forests and world heritage sites.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

watu wapatao 25 walipigwa risasi na kuuwawa leo katika mji mkuu wa madagaska, antananarivo, wakati wa maandamano ya kuelekea ikulu ya nchi hiyo yaliyoitishwa na meya wa jiji andry rajoelina baada ya kujitangaza kama kiongozi wa serikali mpya ya mpito katika mkutano wa hadhara wa kisiasa.

英语

at least 25 people were shot dead today in madagascar's capital antananarivo during a march to the presidential palace called by the city's mayor andry rajoelina after he declared himself the leader of a new transitional government at a political rally.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

patrick rajoelina anahoji kisheria, ikiwa rais wa mpito andry rajoelina bado anataka kugombea katika uchaguzi ujao wa raia nchini madagaska, basi hatakuwa na sifa tena za kuwa rais, kwa mujibu wa makubaliano yaliyotiwa saini na vyama vyote vya nchi hiyo mwaka 2011.

英语

patrick rajoelina argues that by law, if the president of the transition andry rajoelina still wants to run for the upcoming presidential elections in madagascar, he can no longer be president, according to the road map signed by all malagasy political parties in 2011.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ilikuwa niujumbe kutoka kwa rais wa zamani wa madagaska, didier ratsiraka kutokea hapo, meya (wa jiji la antananarivo, andry rajoelina) alitoa amri ya kufunguliwa tena kwa stesheni ya viva kabla ya tarehe 13 januari kwa sababu andry hakupata kile alichokitaka, aliwaalika watu wa tana kufanya mgomo tena leo, tarehe 24 januari.

英语

it was a message from the former president of madagascar, didier ratsiraka since then, the mayor ( of antanarivo, andry rajoelina) gave an ultimatum to the government to re-open viva tv station before january 13 as andry didn’t get what he wanted, he invited the people of tana to go on a strike again today, january 24.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,770,552,245 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認