您搜索了: raslimali (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

raslimali

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

kwa njia gani unadhani dunia inaweza kutumia raslimali zake kwa uendelevu zaidi?

英语

in what ways do you think that the world can use its resources more sustainably?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wakati mwingine vikundi hivi vinaunganisha nguvu katika jitihada za kutafuta fedha na raslimali nyingine.

英语

sometimes these groups join forces in pursuit of money and resources.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

sera hii pya itamaanisha kuwa nchi itatumia raslimali zake zaidi kwenye kiingereza kwa gharama ya kulea na kuendeleza lugha za asili.

英语

the new policy will mean that as a country we will allocate more resources to english at the expense of nurturing and developing local languages.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kule kuwa na nyenzo duni, bara la afrika imefurikwa na nyenzo zilizopitwa na wakati pamoja na utawala duni na butu wa raslimali zilizopo.

英语

underequipped, the african continent is awash in the obsolescence of its facilities and bore the brunt of poor management of available resources.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

blogu hiyo inakusudia kutangaza vyema sura sahihi ya somalia kwenye vyombo vya habari na vipaji vya watu wake, masuala ya urembo na raslimali asilia.

英语

the blog aims at promoting a more accurate media image of somalia and the potential of its people, beauty and natural resources.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ni aibu kuwa leo bado nchi za afrika zinawalaumu mabwana zao wakoloni wa zamani kwa uchumi uliozorota ambao kwa hakika kabisa kunasababishwa na ufisadi, udhibiti mbovu wa raslimali na kukosa uwezo.

英语

it is pathetic that african countries still blame their former colonial masters today for their economic failures clearly caused by corruption, mismanagement and sheer incompetence

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa kufanya hivi, wamejenga himaya zinazovuna raslimali za nchi, kuua watu wasio na hatia, kubaka wanawake, kutesa wapinzani na watetezi wa haki za binadamu.

英语

to do this, they have built oligarchies which pillage resources, kill innocents, rape women, torture opponents and defenders of human rights.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wanachama hawa wa jumuiya yetu wanahusika na miradi na harakati nyingi ya uandishi wa kiraia, teknolojia, na uandishi wa habari pia, na wamekuwa raslimali muhimu kwa wengijne wanaotaka kuwa wachapakazi katika eneo hili.

英语

this community members are involved in a wide range of citizen media, technology, and journalistic projects and activities, and may serve as a valuable resource for others interested in becoming more active in this field.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

akizungumza katika kongamano maalumu kuhusu tathmini ya athari za mazingira kwa ajili ya awamu ya kwanza ya kuendeleza maeneo yenye mafuta ya jubilee, lililoandaliwa na mwakilishi wa mkoa huo wa baraza la machifu katika sekondi, alisema eneo hilo halijafaidika na raslimali kama bahari, dhahabu na vito vingine, magogo na madini mengine.

英语

speaking at a special hearing on the environmental impact assessment for the development of the first phase of the jubilee oil fields, organised for the western region house of chiefs in sekondi, he said the region had not benefited from natural endowments like the sea, gold, bauxite, timber and other minerals.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
8,021,648,971 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認