您搜索了: togo (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

togo

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

togo yafuta adhabu ya kifo

英语

togo abolishes death penalty · global voices

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

raia wa togo waliguswa na kuvutiwa na ujumbe huo.

英语

togolese citizens were taken aback by the message and its exuberance.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

togo yaondolewa kwenye mashindano ya kombe la afrika baada ya shambulizi baya

英语

togo disqualified from african cup following deadly attack · global voices

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

maandamano kama haya yalitokea katika nchi za burkina faso, burundi na togo.

英语

these protests come on the hill of similar uprisings in burkina faso, burundi and togo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mtu mmoja alitaka watu wajue kwamba alikuwa na shukrani kwa ukarimu wa rais wa togo faure gnassingbé.

英语

someone sure wanted people to know that he was thankful for togolese president faure gnassingbé generosity.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mara baada ya shambulizi hilo, kulizuka mjadala mkubwa wa mtandaoni kuhusu kama timu ya togo ijitoe au la.

英语

directly following the attack, there was a big debate online as to whether togo should withdraw.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

bunge la taifa la togo limepiga kura ya kukomesha adhabu ya kifo na kuifanya nchi hiyo kuwa mwanachama wa 15 wa umoja wa nchi za afrika kuipiga marufuku adhabu hiyo.

英语

togo's national assembly voted on tuesday to end the death penalty for all crimes, making it the 15th member of the african union to abolish capital punishment.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kundi la waasi linalojulikana kwa jina la flec na ambalo limedai kuhusika na shambulizi hilo lilieleza kwenye taarifa yake kwamba wao walikuwa wamelenga kushambulia msafara wa polisi na si timu ya wachezaji ya togo.

英语

flec, the rebel group which has claimed responsibility for the attack, indicated in a statement that the police envoy, and not the togolese players, were the target.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kuzaliwa na kukulia nchini togo na kuendelea kukua nchini marekani kumenipa hamu ya kuchunguza na kuelewa tamaduni mbalimbali, kusikiliza simulizi na kujifunza kuhusu mambo yanayowakutanisha watu.

英语

born and raised in togo and growing up in the united states has given me the desire to explore and understand various cultures, to listen to stories and to learn about what brings people together.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

rêve d'afrique, ambayo ni blogu ya raia wa togo na mwandishi gerry taama alijenga hoja zake kwamba mchezo uendelee:

英语

rêve d'afrique, the blog of togolese writer gerry taama, argued the game should go on:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

chaguzi za rais na/au wabunge zitafanyika kwenye nchi za naijeria, sudan, ethiopia, burundi, tanzania, zambia, togo, ivory coast, mauritius, jamhuri ya afrika ya kati, burkina faso, naija, guinea, chadi, na misri na labda sudani kusini kutegemeana na makubaliano ya amani yanayotarajiwa kuwekewa saini.

英语

presidential elections and/or legislative elections will be held in nigeria, sudan, ethiopia, burundi, tanzania, zambia, togo, ivory coast, mauritius, central africa republic, burkina faso, niger, guinea, chad, and egypt and may be south sudan depending on the peace deal to be signed.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,734,597,890 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認