您搜索了: ufukara (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

ufukara

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

takribani mwanfrika mmoja kati ya wawili anaishi katika ufukara uliokithiri leo hii.

英语

almost one out of every two africans lives in extreme poverty today.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

zachary rosen anaonyesha kwamba hata lesotho inapogonga vichwa vya habari, makala hizo mara nyingi huhusu ukimwi na ufukara:

英语

zachary rosen notes that even when lesotho receives media coverage, the articles are usually about aids and poverty:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa hakika, nchi hii huwa haisikiki vya kutosha isipokuwa kama inakumbwa na mambo yanayohusiana na ngono na ufukara yanayokazia namna lesotho ilivyo na hali inayotisha, holehahe na inavyosumbuliwa na ukimwi.

英语

in fact, the country receives very little international media attention except in the form of poverty porn that stresses how horrible, destitute and aids-ridden lesotho is.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kura yako ni nguvu ya kuamua ni nani ataiongoza naijeria kuondokana na ufukara, ukosefu wa ajira, kutokuwepo kwa usalama, na mgombea atakayeirudisha heshima ya kweli ya wa-naijeria.

英语

your vote is your power to decide who will lead nigeria out of poverty, unemployment, insecurity, and the candidate that will restore the true dignity of nigerians.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

athari za mabadiliko ya hali ya hewa zinatarajiwa kuathiri vibaya zaidi (na pasipo uwiano) mwenendo wa maisha, afya, na fursa za kielimu kwa watu wanaoishi kwenye ufukara.

英语

the impacts of climate change are expected to seriously (and disproportionately) affect the livelihoods, health, and educational opportunities of people living in poverty.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hebu fikiri namna uchafu unaokinaisha, ufukara uliokithiri, tabia za fujo za kinyani nyani na kele zilizokithiri zinazoletwa na hili dude; yote yatasafirishwa mpaka kwenye nyumba milioni 500 za wazungu wa magharibi, huku dunia nzima ikishuhudia.

英语

just think how the filth, squalor, violent ape-like behaviour and deafening racket this thing produces will be beamed into 500 million white western homes, for all the world to see.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa mujibu wa taarifa ya malengo ya maendeleo ya mileniamu ya 2013 nchini uganda , nchi hiyo chini ya museveni imefanikiwa "kupunguza nusu ya idadi ya watu wanaoishi kwenye ufukara uliokithiri na kupunguza madeni yake" – na ilikuwa inafanya vizuri katika kutimiza malengo mengine nane.

英语

according to the 2013 millennium development goals report for uganda, the country under museveni has succeeded in "halving the number of people living in absolute poverty and achieving debt sustainability" – and was on track to achieve another eight of its targets.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,761,560,973 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認