您搜索了: uonevu (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

uonevu

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

sijawahi kuona aina hii ya uonevu.

英语

i have never seen this kind of mistreatment.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

"kutokana na uonevu wa wanajeshi, tulilazimika kuondoka na kuiacha ardhi yetu.

英语

"because of the repression of the soldiers, we were forced to evacuate and leave our land.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

kudhibiti mashitaka yanayosukumwa na uonevu na chuki yanayolenga kuwakomesha waandishi na kuwatisha wakosoaji wa serikali.

英语

limit aggressive prosecutions that ensnare journalists and intimidate whistleblowers.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

machi 16 ni siku ya 1000 ya kifungo cha reenyotalemu na inaonyesha namna ethipia inavyotawala kiimla, uonevu na kwa unyanyasaji

英语

march16 marks 1000 days of imprisonment of #reeyotalemu & clarifies #ethiopia rule by dictate, injustice & oppression @anagomesmep @amnesty — ephrem shaul (@eph_sh) march 15, 2014

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

ubakaji ni kupiga, namna ya uonevu, ambao unafanyika kwa kupitia kiungo cha ngono badala ya ngumi.

英语

rape is a beating, a form of abuse, that just happens to be carried out using a sexual organ instead of a fist.

最后更新: 2024-03-21
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

“watu wa koodankulam wamekuwa wakipinga mitambo ya nyuklia kwa ustadi mkubwa uliojengwa katika makazi yao na kusababisha uonevu kwa miezi kadhaa sasa.

英语

“the people of koodankulam have been bravely fighting against the nuclear power plant which has come up in their homes and hearths for months now.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hata hivyo, sheria hizi pamoja na mikakati hii bado haijafanikiwa kutokomeza aina mbalimbali za uonevu, umasikini na hali ya kukosa malazi na chakula kunakowakabili watoto wengi.

英语

but these laws and programs have not succeeded in eliminating the various forms of abuse, poverty and deprivation experienced by many children.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

irfan khudi ali, mwanaharakati mashuhuri wa haki za binadamu ambaye bila kuchoka aliweka wazi uonevu wa kikabila unaofanywa kwa washia wa hazara nchini pakistan, alifariki katika shambulio lililofuata.

英语

irfan khudi ali, a prominent human rights activist who tirelessly highlighted the persecution of hazara shia in pakistan, passed away in the second attack.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hatua ya serikali ya irani kutoa huduma hizi kwa wakimbizi imekosolewa sana, hata hivyo, ripoti ya mwaka 2013 shirika la haki za binadamu iliyoonesha kwamba wakimbizi wa afghanistani walikuwa wakitendewa uonevu na wakati mwingine kunyanyaswa na wananchi wa irani na serikali.

英语

iran's treatment of this demographic has been subject to past criticism, however, most notable in the 2013 human rights watch report that detailed the mistreatment and sometimes abuse afghans faced from both iranian society and the government.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

jambo hili pia liliwekwa bayana na shirika la kutetea haki za binadamu la amnesty international katika taarifa yake ya mwaka 2003: hukumu zisizo za haki: maumivu katika kusimamia haki (ai index: amr 41/007/2003/). raisi wa klabu ya pen , eugene schoulgin, alimtembelea mwaka 2006; na pia jopo la wanasheria wa haki za binadamu wanamtetea, na tume ya haki za binadamu ya shirikisho ya wilaya (jiji la mexico) ilitoa mapendekezo 12/02 kufuatia uonevu na ukiukwaji wa taratibu wanazozisimamia.

英语

the case was also reported by amnesty international in its 2003 report: unfair trials: torture in the administration of justice (ai index: amr 41/007/2003/), the president of the pen club, eugene schoulgin, visited him in 2006; also the lawyer's committee for human rights defends them, and the human rights commission of the federal district (mexico city) issued a recommendation 12/02 due to torture and violation of his legal guarantees.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,742,644,554 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認