您搜索了: waliposikia (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

waliposikia

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

waliposikia hivyo wakashangaa; wakamwacha, wakaenda zao.

英语

when they had heard these words, they marvelled, and left him, and went their way.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wale watu waliposikia hayo, wakasema, "nani basi, atakayeokolewa?"

英语

and they that heard it said, who then can be saved?

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

wale wanafunzi wengine kumi waliposikia hayo, wakawakasirikia hao ndugu wawili.

英语

and when the ten heard it, they were moved with indignation against the two brethren.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mafarisayo waliposikia kwamba yesu alikuwa amewanyamazisha masadukayo, wakakutana pamoja.

英语

but when the pharisees had heard that he had put the sadducees to silence, they were gathered together.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wale wanafunzi wengine kumi waliposikia hayo, walianza kuchukizwa na yakobo na yohane.

英语

and when the ten heard it, they began to be much displeased with james and john.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

makuhani wakuu na mafarisayo waliposikia hiyo mifano yake walitambua kwamba alikuwa anawasema wao.

英语

and when the chief priests and pharisees had heard his parables, they perceived that he spake of them.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

lakini mafarisayo waliposikia hayo, kwa vile wao walikuwa wanapenda sana fedha, wakamdharau yesu.

英语

and the pharisees also, who were covetous, heard all these things: and they derided him.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wale wanafunzi waliposikia hivyo walishangaa, wakamwuliza, "ni nani basi, awezaye kuokoka?"

英语

when his disciples heard it, they were exceedingly amazed, saying, who then can be saved?

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

mkuu wa walinzi wa hekalu na makuhani wakuu waliposikia habari hiyo wakawa na wasiwasi, wasijue yaliyowapata.

英语

now when the high priest and the captain of the temple and the chief priests heard these things, they doubted of them whereunto this would grow.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

waliposikia akiongea nao kwa kiebrania wakazidi kukaa kimya zaidi kuliko hapo awali. naye paulo akaendelea kusema,

英语

(and when they heard that he spake in the hebrew tongue to them, they kept the more silence: and he saith,)

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

waliposikia hayo watu wote na watoza ushuru waliusifu wema wa mungu; hao ndio wale waliokuwa wameupokea ubatizo wa yohane.

英语

and all the people that heard him, and the publicans, justified god, being baptized with the baptism of john.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

waliposikia hayo, waliwaka hasira, wakaanza kupiga kelele: "mkuu ni artemi, wa efeso!"

英语

and when they heard these sayings, they were full of wrath, and cried out, saying, great is diana of the ephesians.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

waliposikia sauti hiyo, kundi kubwa la watu lilikusanyika. wote walishtuka sana kwani kila mmoja wao aliwasikia hao waumini wakisema kwa lugha yake mwenyewe.

英语

now when this was noised abroad, the multitude came together, and were confounded, because that every man heard them speak in his own language.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

basi, wengi wa wafuasi wake waliposikia hayo, wakasema, "haya ni mambo magumu! nani awezaye kuyasikiliza?"

英语

many therefore of his disciples, when they had heard this, said, this is an hard saying; who can hear it?

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

basi, watu waliposikia hayo, walichomwa moyo, wakawauliza petro na wale mitume wenzake: "ndugu zetu, tufanye nini?"

英语

now when they heard this, they were pricked in their heart, and said unto peter and to the rest of the apostles, men and brethren, what shall we do?

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

waliposikia hayo, waliacha ubishi, wakamtukuza mungu wakisema, "mungu amewapa watu wa mataifa mengine nafasi ya kutubu na kuwa na uzima!"

英语

when they heard these things, they held their peace, and glorified god, saying, then hath god also to the gentiles granted repentance unto life.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

waliposikia hayo, walimtukuza mungu. kisha wakamwambia paulo, "ndugu, unaweza kuona kwamba kuna maelfu ya wayahudi ambao sasa wamekuwa waumini na wote hao wanashika kwa makini sheria ya mose.

英语

and when they heard it, they glorified the lord, and said unto him, thou seest, brother, how many thousands of jews there are which believe; and they are all zealous of the law:

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

yopa si mbali sana na luda; kwa hiyo wafuasi waliposikia kwamba petro alikuwa luda, wakawatuma watu wawili kwake na ujumbe: "njoo kwetu haraka iwezekanavyo."

英语

and forasmuch as lydda was nigh to joppa, and the disciples had heard that peter was there, they sent unto him two men, desiring him that he would not delay to come to them.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,747,994,567 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認