来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
maamuzi ya nchi ya hauthi: maandamano hayaruhusiwi tena nchini yemen. karibu kwenye demokrasia mpya
new decisions at houthi-land: protests are no longer allowed #yemen welcome to the new democracy pic.twitter.com/mni7hfwksu — baraa shiban (@bshtwtr) february 9, 2015
gazeti la vatan emrooz likiwa na maoni yake ukurasa wake wa mbele wa tarehe 23 aprili, 2015 kufuatia saudi arabia kutangaza kusitisha mashambulizi ya anga nchini yemen.
vatan emrooz reactons on its thursday, april 23, 2015 front page to the end of saudi airstrikes.
yemen iko kwenye mzozo wa kisiasa, bila kuwa na rais wala serikali, tangu waasi wa houthi kuangusha taasisi za kiserikali na kuteka ikulu kwenye mji mkuu wa sanaa.
yemen is in political limbo, without a president and government, since the houthi militias took over government institutions and the presidential palace in capital city sanaa.
@abubakrabdullah: inafurarahisha – hotuba ya marzouki bungeni tunisia leo – natumai kuona siku moja kitu kama hicho kikitokea yemen..
@abubakrabdullah: amazing - marzouki's speech at the tunisian parliament today - i hope to see something similar in yemen one day..
kuna taarifa zisizodhibitishwa zinazosema kwamba vikosi vya pamoja vya kisaudi, ambavyo vimekuwa vikiishambulia yemen kwa mabomu kwa zaidi ya miezi miwili sasa vimelilenga bwawa la marib, moja wapo ya maajabu makuu ya katika ulimwengu wa ubunifu wa kale wa kiufundi.
unconfirmed reports say that saudi coalition forces, which have been bombing yemen for more than two months have targeted the marib dam, one of the engineering wonders of the ancient world.
kayhan, gazeti lililo na uhusiano na kiongozi mkuu wa kidini, ayatollah khamenei, katika ukurasa wake wa mbele lilichapisha picha ya kijana wa yemen wa kihouthi akiwa amekalia kitu ambacho kilionekana kama mabaki ya roketi yaliyotokana na mashambuli ya anga ya ndege za kivita za saudi arabia dhidi ya wapiganaji wa houthi.
kayhan, a newspaper associated with supreme leader ayatollah khamenei's office, published their frontpage with the photo of a young houthi yemeni boy sitting on what seems to be rocket that remains from the saudi arabian airstrikes against houthi fighters.
@noonarabia: ninatamani siku moja na sisi hapa yemen tujisikie fahari na mtu ambaye “sisi” tumekumchagua mtu kuwa kiongozi wetu, kama ilivyo leo tunisia. #yemen #tunisia
@noonarabia: i wish one day in yemen we get to feel proud of the person who "we" choose to be our leader, as the tunisians are today. #yemen #tunisia