您搜索了: zimbambwe (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

zimbambwe

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

zimbambwe: hasira wakati mzee mugabe anapowania uchaguzi wa 2012

英语

zimbabwe: outrage as octogenarian mugabe eyes 2012 election · global voices

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mtawala wa muda mrefu wa zimbambwe, robert mugabe, 87, alipitishwa mwishoni mwa wiki iliyopita na chama chake cha zanu –pf, kuwa mgombea wao kwa uchaguzi wa rais unaotegemewa kufanyika mwaka ujao.

英语

zimbabwe's long-time ruler, robert mugabe, 87, was endorsed last weekend by his party, the zimbabwe african national union-patriotic front (zanu-pf), as their candidate for the presidential elections expected next year.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

rais sata, anayejulikana kwa kuzungumza kwa jazba na kutokuzingatia protokali, aliripotiwa na tovuti ya habari za kiraia,zambian watchdog, kuwa na fursa ya kuzungumza na kupokea maswali kutoka kwa wa-zambia waishio nchini botswana, ambapo anadaiwa kusema kwamba rupia banda, (rais wa zamani wa nchi hiyo, ambaye alimshinda katika uchaguzi wa mwaka 2011) alitaka kuiingiza hoja hiyo ya uraia wa nchi mbili katika katiba kwa sababu tu alitokea eneo la gwanda nchini zimbambwe.

英语

president sata, known for his brashness and disregard for protocol, was reported by the citizen online news site, the zambian watchdog, to have had a question and answer session with zambians residing in botswana where he allegedly told them that former president rupiah banda whom he defeated in the 2011 elections wanted to include dual citizenship in the failed constitution because he was from gwanda in zimbabwe.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,762,915,729 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認