您搜索了: kuandamana (斯瓦希里语 - 西班牙语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

Spanish

信息

Swahili

kuandamana

Spanish

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

西班牙语

信息

斯瓦希里语

kosa lake: kuandamana

西班牙语

su delito: protestar.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

@lovbwise awataka wanaharakati kuandamana:

西班牙语

@lovbwise llama a los activistas a manifestarse:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

raia wa mtandaoni nao wameshaonesha hasira yao na pia kuandamana.

西班牙语

además, los internautas han expresado también su rabia mediante protestas.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa kiasi kikubwa watu hawa waliuawa wakati wakielekea kuandamana.

西班牙语

la mayor parte de estas personas fue asesinada mientras protestaban.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ni kana kwamba watu hawana haki ya kuandamana kupinga jambo?

西班牙语

¡como si la gente no tuviera el derecho de manifestarse!

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

chapa yao ni kuandamana kama vile kidini, katika hali ya kustaajabisha.

西班牙语

son los hombres quienes se disfrazan e invitan a las mujeres a bailar.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

aliniambia ataniruhusu kumwona kijana wangu kama nitamhakikishia kuwa sitaongea na waandishi wala kuandamana.

西班牙语

me dijo que me dejaría ver a mi hijo si prometía que no daría entrevistas o que no me uniría a las protestas.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ni nani aliyewapa amri ya kuzuia haya maandamano kwa ukatili na kukandamiza haki ya kuandamana?

西班牙语

¿quién dio la orden de parar esta protesta de manera violenta y de reprimir el derecho de protestar?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mageuzi ya mfumo wa elimu yaliahirishwa nchini gabon baada ya walimu na wanafunzi kuandamana pamoja kwa maandamano.

西班牙语

se suspendieron las reformas al sistema educativo en gabón después que profesores y estudiantes marcharon juntos en las protestas.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

endapo kama polisi wangekuwa wanaheshimu uhuru wa kuandamana na kama wasingalidhibiti maandamano kwa nguvu, huenda jambo hili lisingetokea.

西班牙语

si la policía respetara la libertad de las manifestaciones y no las reprimiera a la fuerza, esto podría no haber pasado.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika kimya cha vyombo vya habari na kutokuwepo kwa haki ya kitaasisi, jambo pekee linalowezekana kufanyika ni kuandamana!

西班牙语

en ausencia de medios y ausencia de justicia institucional, ¡lo único que se puede hacer es protestar!

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

polisi walishambulia bila ya huruma, kabla hata ya kufanya jambo jingine lolote mbali na kuandamana, hakukuwa na uharibifu wa mali.

西班牙语

la policía nos atacó sin compasión, aun antes que fuéramos capaces de hacer otra cosa que protestar, no hubo vandalismo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baada ya swala, watu walikusanyika mbele ya msikiti na kuandamana kupitia barabara za mitaa ya wad nubawi wakiimba kauli mbiu za kupinga utawala wa nchi hiyo.

西班牙语

luego de la oración, la gente se reunió frente a la mezquita y marchó por una de las principales vías en wad nubawi, acompañados de cánticos antirrégimen.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

matokeo yake, ibgana aliwaratibu wanawake 100,000, wengi wao wakiwa wa-kristo, kuandamana katika mji wa jos.

西班牙语

en respuesta a ello, ibanga organizó una marcha de 100,000 mujeres, principalmente cristianas, a través de jos.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

serikali ya heshan iliridhia mambo kadhaa kufuatia mamia ya raia wa jiji la heshan kuandamana julai 12, 2013 wakipinga kujengwa kwa mradi huo ambao wanaamini utaweka maisha yao hatarini.

西班牙语

el gobierno de heshan realizó varias concesiones después que cientos de residentes locales encolerizados tomaran las calles el 12 de julio a causa de este proyecto de alto riesgo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa jazba na hali ya kukosa imani, mamia ya wakazi wa jiji la jiangmen waliendelea kuandamana na kuingia siku ya tatu ya maandamano tarehe 14 julai wakitaka kupewa hati maalum ya serikali inayoonesha kusitishwa kwa mradi huu.

西班牙语

el documento del gobierno sobre la cancelación del proyecto de la planta nuclear .cientos de residentes locales, enfadados y desconfiados, continuaron reuniéndose al tercer día el 14 de julio para exigir un documento oficial escrito de la cancelación del proyecto.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

zaidi ya watu 20,000 walijitokeza huko varna kwa ajili ya kuandamana, watu 10,000 huko plovdiv, 6,000 huko sofia na watu 5,000 huko blagoevgrad.

西班牙语

más de 20,000 personas concurrieron a la protesta en varna, 10,000 en plovdiv, 6,000 en sofía, 5,000 en blagoevgrado.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

maelfu ya waandamanaji hawakuujali utawala wa kiislamu leo kwa kuandamana wakati wa siku ya mwanafunzi, wakiimba kaulimbiu dhidi ya ali khamenei, kiongozi wa jamuhuri ya kiislamu, na wakipinga sera ya mambo ya nje ya serikali.

西班牙语

miles de manifestantes desafiaron al régimen islámico hoy al protestar durante el día del estudiante, coreando consignas contra ali khamenei, el líder de la república islámica, y protestando contra la política exterior del gobierno.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa mujibu wa picha iliyochapishwa na josé meza (@josegremeza), jijini maracaibo wanafunzi walikuwa wakidai mazungumzo na maafisa wa polisi waliowasili katika viwanja hivyo kwa mijanajili ya kuandamana:

西班牙语

#merida una pancarta que nos arrugó el corazón! pic.twitter.com/j17qjzscaq — ̣̣ sonia camacho h. (@mujeresdenegro) february 15, 2014

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

bila kujali wasiwasi juu ya idadi inayokubaliana na maandamano, haya kwa kweli ni maandamano ya halaiki, na itakuwa mara ya kwanza kwa wapalestina kukusanyika pamoja kwa idadi kubwa pamoja na waunga mkono wa kimataifa: kuna takriban washiriki 1,300 wa kimataifa watakaoshiriki, ambao watakutana mjini cairo na kuandamana bega kwa bega na wakazi wanaokadiriwa kufikia 50,000 pindi watakapoingia gaza kupitia rafah.

西班牙语

a pesar de las preocupaciones por la cantidad de respaldo de la marcha, sin duda esta es una manifestación masiva, y es la primera vez que los palestinos se unirán en cantidades tan grandes al lado de apoyo internacional: se estima unos 1,300 participantes internacionales, que se reunirán en el cairo y que marcharán al lado de 50,000 habitantes locales una vez que hayan cruzado hacia gaza a través de rafah.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,763,073,452 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認