您搜索了: miongoni (斯瓦希里语 - 阿拉伯语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

Arabic

信息

Swahili

miongoni

Arabic

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

阿拉伯语

信息

斯瓦希里语

aliye mkubwa miongoni mwenu ni lazima awe mtumishi wenu.

阿拉伯语

واكبركم يكون خادما لكم.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ninyi ni miongoni mwa watu hao; mmeitwa muwe watu wake yesu kristo.

阿拉伯语

الذين بينهم انتم ايضا مدعوو يسوع المسيح.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

vivyo hivyo, wako pia miongoni mwenu watu wanaofuata mafundisho ya wanikolai.

阿拉伯语

هكذا عندك انت ايضا قوم متمسكون بتعاليم النقولاويين الذي ابغضه

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

takribani watu 51 walikamatwa siku hiyo, miongoni mwao wakiwemo wanaharakati kadhaa maarufu.

阿拉伯语

اعتقل على الأقل 51 شخصاً في ذلك اليوم، من ضمنهم نشطاء معروفين.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

eduardo anaendelea kuujadili mgawanjiko ulioko hivi sasa miongoni mwa jamii ya venezuela:

阿拉伯语

يستمر إدواردو في الحديث ليناقش الانقسام الحالي في المجتمع الفنزويلي:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

maldivi ni miongoni mwa nchi za kwanza kwenye orodha ya serikali zinazozuia uhuru wa dini.

阿拉伯语

احتلت جزر المالديف مرتبة عالية في قائمة الحكومات التي تقيد حرية العقيدة.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

jiji la goma liliathiriwa na mapigano yaliyosababisha kukamatwa kwa watu wengi miongoni mwa maelfu ya waandamanaji.

阿拉伯语

وتأثرت أيضًا مدينة غوما بالاشتباكات التي شهدت اعتقال العديد من بين آلاف من المتظاهرين.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

miongoni mwa mamia ya wapiga picha, yazan homsy ‏ ametushirikisha matukio ya uharibifu wa makazi.

阿拉伯语

من ضمن المئات من المصورين، شاركنا يزن الحمصي مواقع من دمار حمص.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hapa chini tunawaletea jinsi habari hizi zilivyopokelewa katika ulimwengu wa uandishi wa habari wa kijmii miongoni mwa wamisri.

阿拉伯语

ونستعرض هنا كيف وثقت الصحافة الشعبية المصرية هذا الحدث:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kuwa miongoni mwa watu wenye vipaji tofauti, werevu, usanii kutakuwa ni kilele cha marupurupu yatokanayo!

阿拉伯语

كوني وسط تلك المجموعة من الموهوبين، الأذكياء، الفنانين الذين تحتضنهم وتشملهم الأصوات العالمية هو قمة السعادة والتميز!

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

jumuia ya global voices inawapongeza wanajumuia wetu wawili ambao ni miongoni wa washindi wa tuzo ya mwaka 2014 ya knight news challenge.

阿拉伯语

يهنئ مجتمع الأصوات العالمية اثنتين من أبرز الأعضاء لفوزهن في مسابقة تحدي نايت نيوز للعام 2014.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

je, siku wafu watakapofufuka mama huyo atakuwa mke wa nani miongoni mwa wale ndugu saba? maana wote saba walimwoa."

阿拉伯语

ففي القيامة لمن من السبعة تكون زوجة. فانها كانت للجميع.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

miongoni mwa mambo ya muhimu niliyojifunza ni kuwa, viti vilivyoko migongoni mwa tembo vinavyotumika kubebea watu na mizigo kwa hakika si sahihi kabisa kwa wanyama hao.

阿拉伯语

من الأشياء المهمة التي تعلمتها، أن الكراسي المستعملة لنقل الأشخاص والأمتعة على ظهر الفيلة (هودج) غير مرحب بها.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kisha mtu mwingine miongoni mwa wanafunzi wake akamwambia, "bwana, niruhusu kwanza niende nikamzike baba yangu."

阿拉伯语

وقال له آخر من تلاميذه يا سيد ائذن لي ان امضي اولا وادفن ابي.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

jillian c. york aliye miongoni mwa washindi wa tuzo ya knight news challenge ambaye mradi wake utahusika na kukusanya taarifa za udhibiti wa taarifa katika majukwaa ya mtandaoni kama vile facebook na twitter.

阿拉伯语

فازت جيليان يورك بجائزة نايت نيوز لإنشاء مشروع يعمل على جمع البيانات عن حجب المنصات الإلكترونية مثل فيسبوك وتويتر.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kitambo kifupi baada ya meja hassan kutangazwa kama mfyatuaji aliyetuhumiwa, kulikuwa na kukosa raha kuliko wazi kabisa miongoni mwa warusha habari na watoa maoni kuhusu usuli wake wa kidini na asili yake.

阿拉伯语

خلال لحظات من الاعلان بأنّ مطلق النار المشتبه به هو نضال حسن، كان هناك شعور واضح بعدم الارتياح بين المذيعين والمعلقين فيما يتعلق بخلفيته الدينية والعرقية.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa mujibu wa benki ya dunia, nusu ya watoto wote hudumaa, "uwiano ambao ni mkubwa kabisa miongoni mwa mataifa yote ya afrika."

阿拉伯语

وفقًا للبنك الدولي، فإن نصف الأطفال دون سن الخامسة يعانون من أعراض نقص النمو، وهي نسبة أكبر من أي دولة أخرى في افريقيا. .

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

@abdulhadikhalaf: wizara ya mambo ya ndani iliyo katili inajaribu kuvunja mlango**** ndio maana kuna idadi kubwa ya majeruhi miongoni mwa waonevu?

阿拉伯语

@abdulhadikhalaf: بلطجية الداخلية تحاول كسر أحد الأبواب**** ألهذا السبب تكثر الإصابات بين البلطجية؟

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kweli nawaambieni, miongoni mwa watoto wote wa watu, hajatokea aliye mkuu kuliko yohane mbatizaji. hata hivyo, yule aliye mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni, ni mkubwa kuliko yeye.

阿拉伯语

الحق اقول لكم لم يقم بين المولودين من النساء اعظم من يوحنا المعمدان. ولكن الاصغر في ملكوت السموات اعظم منه.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

miezi michache tu iliyopita, raia wengi wa misri walitamani sana kumwona aliyekuwa rais wa nchi hiyo, rais mubarak, akitupwa jela, hata hivyo, pengine ni wachache miongoni mwao waliofikiri kwa uhakika kabisa kwamba siku moja jambo hili lingetimia.

阿拉伯语

ربما تمنى القليل المصريين في الأشهر القليلة الماضية رؤية مبارك في السجن، ولكن ربما لم يعتقد أحد أن يحدث ذلك بالفعل في يوم ما.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,774,095,270 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認