您搜索了: sehemu (斯瓦希里语 - 阿拉伯语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

Arabic

信息

Swahili

sehemu

Arabic

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

阿拉伯语

信息

斯瓦希里语

sehemu ya kijijini nchini cambodia

阿拉伯语

ريف كمبوديا

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

maandamano ya kukusanyika sehemu moja yaendelea usiku kucha.

阿拉伯语

الجلوس المتواصل طوال الليل.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

posti hii ni sehemu ya habari zetu maalumu zakony 2012.

阿拉伯语

هذا المقال جزء من تغطيتنا الخاصة ب كوني 2012.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tulizoea kusema kuwa hakuna sehemu ya kupumulia katika nchi hii.

阿拉伯语

اعتدنا أن نقول لا يوجد مكان للتنفس في هذا البلد.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

makala hii ni sehemu ya habari maalumu za tetemeko la japani 2011.

阿拉伯语

هذا المقال جزء من تغطيتنا الخاصة لزلزال اليابان عام 2011.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

blog zinaendelea kuwa ni sehemu muhimu lakini zinapoteza eneo kwa washiriki wapya.

阿拉伯语

مازالت للمُدوّنات مكاناً قيّماً لكنها تفقد بعض من أهميتها للوافدين الجُدد.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

makala haya ni sehemu ya habari zetu maalumu za mahusiano na usalama wa kimataifa

阿拉伯语

هذا المقال جزء من تغطيتنا الخاصة العلاقات الدولية وشئون الأمن.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

makala haya ni sehemu ya habari zetu maalum: wanamapinduzi washitakiwa saudi arabia

阿拉伯语

هذا المقال جزء من تغطيتنا الخاصة: محاكمات الإصلاحيين في السعودية

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hii ni sehemu ya makala zetu maalumu kuhusu mashindano ya olympiki ya 2012 jijini london .

阿拉伯语

هذا المقال جزء من تغطيتنتا الخاصة بأولمبياد لندن 2012.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

makala hii ni sehemu ya habari maalumu tunazowaletea kuhusu mapinduzi ya misri ya mwaka 2011.

阿拉伯语

هذا المقال جزء من تغطيتنا الخاصة بثورة مصر 2011

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hata hivyo, mawasiliano ya mtandao yamethibitisha kuwa sehemu za muhimu ya utunzaji na uhuishaji wa lugha.

阿拉伯语

بالرغم من ذلك، فإن الاتصال بالإنترنت أثبت نفسه كعامل مهم في مجال الحفاظ على اللغات.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mamilioni ya wahamiaji wa kipalestina na wale walioteguliwa kutoka kwenye makazi yao palestinians wanaishi sehemu mbalimbali duniani.

阿拉伯语

ويعيش ملايين آخرين من النازحين والمهاجرين الفلسطينيين حول العالم.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

jifunze zaidi kuhusiana na tukio hili, na jiandikishe hapa ili kuwa sehemu ya mkutano huu wa kuadhimisha miaka kumi.

阿拉伯语

تعرف على المزيد عن القمة وقم بالتسجيل هنا لتكون ضمن احتفالات الذكرى العاشرة لإنشاء الأصوات العالمية.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

frugia na pamfulia, misri na sehemu za libya karibu na kurene; wengine wetu ni wageni kutoka roma,

阿拉伯语

وفريجية وبمفيلية ومصر ونواحي ليبية التي نحو القيروان والرومانيون المستوطنون يهود ودخلاء

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kama mwombaji si mmoja wa wanajamii wake, wakazi wa maeneo yanayolengwa au wanajamii lazima awe sehemu ya kutengeneza na kuutekeleza mradi.

阿拉伯语

إذا كان المتقدم ليس عضوًا، يجب أن يكون السكان المحليون أو أعضاء هذا المجتمع مشاركون في تطوير وتنفيذ المشروع.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

sehemu nyingine yenye kuhitaji msisitizo wa haraka na kufanyiwa kazi ni afya ya uzazi, hii inatokana na ongezeko la haraka la idadi ya watu nchini madagaska.

阿拉伯语

مجال آخر له حاجة ملحة للعمل عليه هو صحة الأم، وذلك بسبب النمو السكاني السريع في مدغشقر.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

"ulinzi binafsi wa barua pepe ni sehemu muhimu ya utatuzi wa tatizo la kufuatiliwa mawasiliano," fsf linasema:

阿拉伯语

الدفاع الذاتي للبريد الالكتروني هو فقط جزء هام من الحل لمكافحة المراقبة.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

aidha kenya ndiyo makazi ya i-hub na asasi dada ya m-labs, ambayo ni sehemu huru ya kukuza uvumbuzi na teknolojia.

阿拉伯语

بالإضافة إلى كون كينيا أيضا موطن أي هاب والمؤسسة الشقيقة إم لابس، مؤسسات مفتوحة تعمل على احتضان المبادرات والحلول التقنية.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hakuna anyejua kama mashumbulizi hayo ya anga yazilenga nyumba za watu, majengo, miskiti au sehemu ambazo zilishashambuliwa awali, kwa hiyo hakuna nayejua kama mbinu zimebadilika au la.

阿拉伯语

لا أحد متأكد فيما إذا كانت الغارات تستهدف المنازل، أو المساجد، أو حتى المناطق المقصوفة سابقاً، لذلك لا أحد يدرك إن كان هناك تغيير في التكتيك ان حدث.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wao wakamjibu, "atawaangamiza vibaya hao waovu, na lile shamba atawapa wakulima wengine ambao watampa sehemu ya mavuno wakati wa mavuno."

阿拉伯语

قالوا له. أولئك الاردياء يهلكهم هلاكا رديّا ويسلم الكرم الى كرامين آخرين يعطونه الاثمار في اوقاتها.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,740,002,814 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認